Try Again: Nitaongea na Rais tumnase Adebayor

Mwamedi bahili hawezi toa hela, wachezaji anaosajili ni kina Mugalu na Nyoni
 
Ni mshambuliaji mzuri spidi, nguvu, mashuti, akili nyingi, kupiga faulo na kona vizuri, pumzi ya kutosha mwanzo mwisho. Nafikiri Mohamed Huseein jana alikuwa anaomba refa amalize mpira na huenda alilala na viatu.

Simba kumsajili ni wazo zuri lakini duniani kote usajili ni kamari kwani unaweza kumuona bonge la mchezaji ukamsajili halafu asikupe ulichotarajia na mchezaji huyo huyo akaenda sehemu nyingine akafanya vizuri. Mfano mzuri ni kilichotkea kwa Chikwende. Lakini uongozi wa Simba wakiamua kucheza hii kamari ni nzuri kwa sababu mchezaji mwenyewe umri wake bado unamruhusu kucheza muda mrefu ujao hivyo.
 
Bangi bana
 
Mnatetemeka..
 
Wakifa je!!
 
Unataka kusema Try again akija kutoka Niger aende Morocco asubiri mechi ndio aje kuongea na rais wa Simba Unataka kuniambi mabosi wa GSM wapo tu wanawasubiri???. Mhadisi yupo tuuu anag'aang'aa macho eti anasubiri ngojera za jaribu tena???. Mtaishia kunawa, hamli ngo'ooo!!!
 
Huyo jamaa alikua anageuza mabeki wetu jinsi anavyotaka.Sema ndo hivyo timu yake haiko vizuri sana katikati zaidi yakutegemea sana winga zao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chikwende bado alikua mzuri tatizo ni kwamba hakupewa muda wakutosha uwanjani.nadhani kuna mambo yalimsibu mengine zaidi ya kiwango chake.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mmeona sasa faida za simba kucheza kimataifa?tukisema muiheshimu simba muwe mnakubal ona anawasaidia kuona wachwzaji wazur na nyie saiz mmeanza kutokwa udenda wa kutaka kuwasajil wachezaj waliokutana na simba
 
Akina kagere muda wote kazi yake nikukimbia tu uwanjani haeleweki anataka nn
Pale mbele hatuna striker yan hatuna tukipata striker mzur mwenye kas na uwezo wa kutumia nafas tunatawala soka la Africa
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…