Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Watanuna haoMi nadhani tuwekeze kumnasa mayele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanuna haoMi nadhani tuwekeze kumnasa mayele
Si walisema Uto wamemvunjia mkataba kule anatua Jangwani?[emoji16]Huyu tayari ni Msimbazi mbona
Bangi banaKwani na yule Junior Lokossa yuko wapi! Acheni mihemko bhana. Sisi mashabiki bado tuna imani na wasahmbuliaji wetu watatu; Bocco, Mugalu na Mk14!
Hizo hela za kumsajili hiyo Adebayor wenu, bora zingetolewa kama motisha kwa hawa washambuliaji wetu watatu.
Mnatetemeka..Kwani na yule Junior Lokossa yuko wapi! Acheni mihemko bhana. Sisi mashabiki bado tuna imani na wasahambuliaji wetu watatu; Bocco, Mugalu na Mk14!
Hizo hela za kumsajili huyo Adebayor wenu, bora zingetolewa kama motisha kwa hawa washambuliaji wetu watatu.
wewe unawaza kama mimi.Mi nadhani tuwekeze kumnasa Mayele
Kwani Chama walifanikiwa kumchukua??Si walisema Uto wamemvunjia mkataba kule anatua Jangwani?[emoji16]
Wakifa je!!Kwani na yule Junior Lokossa yuko wapi! Acheni mihemko bhana. Sisi mashabiki bado tuna imani na wasahambuliaji wetu watatu; Bocco, Mugalu na Mk14!
Hizo hela za kumsajili huyo Adebayor wenu, bora zingetolewa kama motisha kwa hawa washambuliaji wetu watatu.
hapana bado hawajamchukuaKwani Chama walifanikiwa kumchukua??
Chikwende bado alikua mzuri tatizo ni kwamba hakupewa muda wakutosha uwanjani.nadhani kuna mambo yalimsibu mengine zaidi ya kiwango chake.Ni mshambuliaji mzuri spidi, nguvu, mashuti, akili nyingi, kupiga faulo na kona vizuri, pumzi ya kutosha mwanzo mwisho. Nafikiri Mohamed Huseein jana alikuwa anaomba refa amalize mpira na huenda alilala na viatu.
Simba kumsajili ni wazo zuri lakini duniani kote usajili ni kamari kwani unaweza kumuona bonge la mchezaji ukamsajili halafu asikupe ulichotarajia na mchezaji huyo huyo akaenda sehemu nyingine akafanya vizuri. Mfano mzuri ni kilichotkea kwa Chikwende. Lakini uongozi wa Simba wakiamua kucheza hii kamari ni nzuri kwa sababu mchezaji mwenyewe umri wake bado unamruhusu kucheza muda mrefu ujao hivyo.
Mmeona sasa faida za simba kucheza kimataifa?tukisema muiheshimu simba muwe mnakubal ona anawasaidia kuona wachwzaji wazur na nyie saiz mmeanza kutokwa udenda wa kutaka kuwasajil wachezaj waliokutana na simbaUnataka kusema Try again akija kutoka Niger aende Morocco asubiri mechi ndio aje kuongea na rais wa Simba Unataka kuniambi mabosi wa GSM wapo tu wanawasubiri???. Mhadisi yupo tuuu anag'aang'aa macho eti anasubiri ngojera za jaribu tena???. Mtaishia kunawa, hamli ngo'ooo!!!
Akina kagere muda wote kazi yake nikukimbia tu uwanjani haeleweki anataka nnHao ndo mastraika si hawa wazito wazito
Pale mbele hatuna striker yan hatuna tukipata striker mzur mwenye kas na uwezo wa kutumia nafas tunatawala soka la AfricaAkina kagere muda wote kazi yake nikukimbia tu uwanjani haeleweki anataka nn
Pole mkuuKwani na yule Junior Lokossa yuko wapi! Acheni mihemko bhana. Sisi mashabiki bado tuna imani na wasahambuliaji wetu watatu; Bocco, Mugalu na Mk14!
Hizo hela za kumsajili huyo Adebayor wenu, bora zingetolewa kama motisha kwa hawa washambuliaji wetu watatu.