Tsh 190 unapata mb 100 masaa 24 halotel watabaki juu mawinguni

Tsh 190 unapata mb 100 masaa 24 halotel watabaki juu mawinguni

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24

Hapa unakuta ndo usiku bundle limekata na kuna issue ya muhimu unataka kuwasiliana na ndugu au miamala fulani ya kifedha au kuperuzi watsaap na google kusoma soma bando limekata na simu haina hela labda 200 tu ipo na mawakala na maduka wamefunga muda huu na kuna jambo la muhimu unataka kufanya mtandaoni unakutana na kifurushi kama hichi kwa kweli watabaki juu mawinguni

HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24
 
*150*88# chovya vocha&vifurushi upate Gb 1 kwa buku wiki nzima
 
Hivi mb 100 unafanyia nini?..na hiyo 190 si wangefanya 200 tu..!
 
Halotel ni majanga kwa sie tunaoishi nje ya mji.kwa walio mjini wanapeta tu.
 
Halotel haina speed nimekujuta leo kuunga GB7 sasa hivi zimekaa tu kwenye laini.
 
Back
Top Bottom