Ni kweli customer care yao majanga niliwahi kutuma pesa kimakosa pamoja na kuwahi kuzuia nilifuatilia wakaniambia zitarejea baada ya saa 72 na kila nikipiga wanaongeza tena 72 mwishowe baada ya miezi miwili na ushee mmoja akaniambia hela imezuiwa ila hajui lini itarejeshwa nikaamua kukaa kimya na halopesa situmii labda siku nikitaka kununua bandoHalotel wapo vizuri sana kwenye mabando
Wakiboresha na upande wa customer care watafika mbali sana