Ni kweli customer care yao majanga niliwahi kutuma pesa kimakosa pamoja na kuwahi kuzuia nilifuatilia wakaniambia zitarejea baada ya saa 72 na kila nikipiga wanaongeza tena 72 mwishowe baada ya miezi miwili na ushee mmoja akaniambia hela imezuiwa ila hajui lini itarejeshwa nikaamua kukaa kimya na halopesa situmii labda siku nikitaka kununua bandoHalotel wapo vizuri sana kwenye mabando
Wakiboresha na upande wa customer care watafika mbali sana
Yeah,customer care yao ni mbaya kuliko mitandao yote niliyowahi kutumiaNi kweli customer care yao majanga niliwahi kutuma pesa kimakosa pamoja na kuwahi kuzuia nilifuatilia wakaniambia zitarejea baada ya saa 72 na kila nikipiga wanaongeza tena 72 mwishowe baada ya miezi miwili na ushee mmoja akaniambia hela imezuiwa ila hajui lini itarejeshwa nikaamua kukaa kimya na halopesa situmii labda siku nikitaka kununua bando
Kama umechagua kutokata salio pindi kifurushi kikiisha, unategemea nini?Tatizo la halotel kujiunga kifurushi network inaload lisaa lizima alafu haiwezekani kupiga simu bila kujiunga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uliosema ni kweli kabisa hawa jamaa upande wa customer care wapo hovyo kuliko mitandao yote Tanzania hii kwanza ukipiga cm kupokea tu dakika tanoNi kweli customer care yao majanga niliwahi kutuma pesa kimakosa pamoja na kuwahi kuzuia nilifuatilia wakaniambia zitarejea baada ya saa 72 na kila nikipiga wanaongeza tena 72 mwishowe baada ya miezi miwili na ushee mmoja akaniambia hela imezuiwa ila hajui lini itarejeshwa nikaamua kukaa kimya na halopesa situmii labda siku nikitaka kununua bando
Asante sana tigo na airtel zatabaki tuu kua receiver !!!*148*66 chagua internet
Basi nenda tigo na voda utajua ufanyie nn100MB unafanyia kazi gani ya maana?
Naweza kuitumia hiyo mb 100 kumuangalia bonnie rotten,Charlotte sartre,nick Benz,Sheena shaw,Anna de ville,mtoto mzuri Lana Rhoades,Gina Valentina,gia Paige,Britney Bardot,phoenix marie,asa akira,adriana chechik..n.k????..
Hakika nami nimewakimbia halotel hatoshaaaaWamekuwa msaada sana kwangu. Tgo na voda rip siwezi kuwamudu kwakweli
Hiyo niyakwako tu. Voda wakifika huko hakuna wakuwapondaVoda 1000 @GB 1.2
MB 100 unaweza kudownload document...100MB unafanyia kazi gani ya maana?
Unaitumia kuingia CRDB SIMBANKING APP then unavuta mkwanja unanunua GB 10 kwa elfu 10....100MB unafanyia kazi gani ya maana?
Hiyo gb1 inakuwa speed usiku tu mchana mwendo wa kinyonga wahuni sana ao jamaa*150*88# chovya vocha&vifurushi upate Gb 1 kwa buku wiki nzima
Wamekua wahuni sanaHalotel haina speed nimekujuta leo kuunga GB7 sasa hivi zimekaa tu kwenye laini.
Kasomi nenda kwenye website ya TCRA utakuta dirisha la malalamiko, weka malalamiko hapo , click send, then utakuwa umemaliza kazi.Wananzengo leo tujadili hili swala la watoa huduma kwa halotel Halotel customer care. Ukiangalia katika huduma zao ukitaka kuongea nao yataka moyo.
Ukipiga simu huduma kwa wateja namba 100 inachukua mpaka hata dk10 hadi wao kupokea simu.
Hivyo halotel huduma kwa wateja wanatesa wateja wao kwa sababu ya muda mrefu wanao tumia mpaka kupokea simu.
Halotel jifunzeni kutoa huduma kupitia Mitandao mingine sio kuhangaisha hivyo wateja