Tsh 190 unapata mb 100 masaa 24 halotel watabaki juu mawinguni

Toka muambiwe kurudisha kama awali naona imekuwa nongwa. Kifurushi kupitia halopesa, data sawa tunashukuru ila mmetupa madakika 100 bila SMS hata moja ya ngama.

Kwanini isingekuwa vile vile mwanzo dakika 10 na SMS kidogo? Kwani kupiga siku hizi ni rahisi kuliko SMS? Tunaomba mpunguze hizo dakika 100 wekeni na SMS kidogo.
 
Hata mm nilishangaa kabisa ikabid nijiunge kifurushi kingine tena
 
Si ununue sms za 1000 mwezi mzm! Asante halotel! 1500 napata 5gb usiku kucha
 
Kasomi nenda kwenye website ya TCRA utakuta dirisha la malalamiko, weka malalamiko hapo , click send, then utakuwa umemaliza kazi.
🙏🙏🙏 nitafanya hivyo harafu Humu ndani walikuwemo sema hawapo online miaka mingi TCRA
 
Naweza kuitumia hiyo mb 100 kumuangalia bonnie rotten,Charlotte sartre,nick Benz,Sheena shaw,Anna de ville,mtoto mzuri Lana Rhoades,Gina Valentina,gia Paige,Britney Bardot,phoenix marie,asa akira,adriana chechik..n.k????..
Eeh🙄😳hao Nao ni wakina nani mkuu Ni wasanii wa Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…