Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15.

Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono huku wakiwakata viungo vya mwili waathiriwa kama njia ya kuwatisha wasilipe kisasi.

Pia aliongoza kundi la Lord Resistance Army (LRA) kufanya ugaidi Kaskazini mwa Uganda kwa miaka 20 ambapo alifukuzwa nchini humo na kundi lake la waasi mwaka 2005.

=======================

A five-million-dollar bounty on the head of Ugandan fugitive and warlord Joseph Kony is still on offer.
On October 1, 2022, the United States War Crimes Rewards Program urged the public to surrender information leading to the arrest of Kony, who has been on the run for 15 years.

“Joseph Kony has been wanted for more than 15 years. You can help bring him to justice and get paid up to $ 5 million. 100% confidentiality,” the notice read.

Kony led the Lord Resistance Army (LRA) and is accused of terrorizing northern Uganda for 20 years and was ejected from the country along with his rebel group in 2005.

The International Criminal Court wants him for war crimes. His militia is accused of abducting children to use as fighters and sex slaves, and of hacking off victims’ limbs as a method of intimidation and revenge.

Kony, armed ordered the LRA to attack villages, murdering, raping, and mutilating in a campaign of intimidation that displaced some two million people.

He claimed to receive prophesies from spirits in his dreams and children would be abducted and brainwashed into becoming his soldiers and slaves.

Children who resisted him were beaten to death by their peers and he turned his female captives into his wives.

CITIZEN DIGITAL
 
Fursa hii ngoja nimshutue mwanangu moja tuingie msituni DRc tumsake kony
 
Kwa ufuatiliaji wangu mdogo wa story za hawa waporipori ni kwamba huwa wanatumika kimkakati na dhani serikali yake inataarifa nzuri zaidi kuliko raia
Hata hao wanaomtafuta ndio wafadhili wake
 
Ukishasikia mhalifu kaingia misitu ya Kongo huyo mshamkosa😂ule msitu unawatemi wengi kama jela yaan Kuna vikundi vya uhalifu Zaid ya70😂,
 
Ingia porini ukate kuni sio umtafute, yule ni mwanaume kisawa sawa, anajua vita na kuishi kipori pori. Naamini anaweza kuwa hata ameshakufa
Huyu jamaa pengine alishafariki, mabeberu wanamsaka balaa, twitter huko internet kote wamejaza wanted zake
 
Back
Top Bottom