stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana na nini! katika maelezo haya tutatumia KSH/TSH kama mfano
Exchange rates ni nini:
Exchange rates znatoka wap:
Wakishafanya ile exchange basi KE hawatalipa kwa KSH bali itabaki kama deni BOT kwa lugha ya kitalaamu tunaiita (NEGATIVE ASSET): kenya watapoewa mazao yao alafu BOT itatoa kiasi kile cha pesa kwa Tsh na kitawapa wakulima, transaction itakua imekamilika
Tunapataje rate ya 1:19? nkimaanisha 1 Ksh = 19 Tsh
Jibu rahisi: makubaliano ila yanaendana na reserve ya Tsh iliobebwa na Benki kuu, however tatizo linakuja taasisi binafsi zinavotaka kufanya biashara kwa mfano:
www.thecitizen.co.tz
taarifa hii ni azam kununua haki za kuonyesha mpira wa kenya kwa sh 22.7B kiasi hiki ni kingi sana, kiasi kwamba benki kuu ya kenya inaweza isiwe na reservr ya hichi kiasi kwa mda huo mmoja japo hua ni mpango wa mda mrefu, hivo basi kutokana na reserve iliopo kenya wanaweza kusogeza rate juu kidogo kwa kiasi kinachoweza kua comfortable na reserve zao:
unaweza kua na maswali kwanini rate isiwe moja kila muda:
Unaweza kuuliza Vipi kuhusu USD/TSH:
kwa upande wa dola na Tsh, hua ni tanzania inafanya mauzo nje kwa nchi zingine na pesa inaotumika kusettle miamala ni dola kwa kua na umbali na kibiashara, kwa mfano tanzania inaweza kufanya biashara na nchi kama egypt, kwa nchi kama hii transactions itamalizika kwa dola kwan hawana biashara za moja kwa moja kila siku, dola inapoingia tanzania basi benki kuu huandaa sera inayohusiana na uhifadhi wa dola nchini kudiscourage watu kutumia dola ndan ya nchi lakini pia kuweka urahisi wa wafanya biashara kuzipata ili waweze kufanya biashara nje ya nchi mfano kununua magari, na vitu vingine katika nchi za mbali
Rate ya dola na Tsh haina uhusiano wa biashara kati ya tanzania na marekani bali ni sera ya kisiasa kuweka watu mbali na matumizi ya dola nchini, mara nyingi BOT huua thamani ya shilingi makusudi ili kubalance mambo kadhaa pale benki kuu na pia mda mwingine huaimarisha shilingi panapohitajika
Watu wenigi hujiskia vibaya wakiskia Tsh imekua dhaifu dhidi ya dola, unaweza ukawa sahihi kama wewe ni mfanya biashara unaoenda nje kuchukua mzigo kwan utatumia rates husika lakini ni kiashria cha kwamba benki kuu haipokei dola nyingi kutoka nje ya nchi, kwa lugha nyepesi nchi haiuzi sana nje! watu wengi hudha dola ni exchange rate ya dunia nzima lakini hapana, ukienda na Tsh nje ya nchi hakuna anaeikubali kwan haitumiki uko, itakubidi ufanye exchange nchini kwako upewe pesa utakayoweza kufanyia biashara nje ya nchi
Kuna athari za Tsh kua dhaifu kwa uchumi wa ndan: NDIO na HAPANA
exchange rate inapokua ndogo kwa mfano KSH/TSH basi husaidia biashara kufanyika kwa haraka na urahisi zaidi baina ya nchi husika, mfano Kenya akija kununua maindi anaweza kununua mengi zaidi na mwananchi wa kawaida kunufaika zaidi, kama dunia moja la maindi ni KSH 1 na mnunuaji ana KSH 10 basi anaweza kupata magunia 10 tanzania, faida nzuri zaidi kwa muuzaji na mnunuaji
Lakini vipi kuhusu dolla kuna athari ikiwa kubwa zaidi ya Tsh: NDIO na HAPANA
hatufanyi biashara moja kwa moja na marekani tunaitumia dola kwa ajili ya biashara na nchi ambazo biashara hufanyika mara moja moja, hivo basi ikiwa chini itakubidi utoe TSH nyingi zaidi kwa ajili ya kununua kitu nje, llakini kama wewe ni mtu mwenye ukwasi sio tatizo kwani utafanya biashara utapata faida gharama zako ztarudi pamoja na faida
SHIDA kubwa katika manunuzi haya ni: mtanzania wa kawaida ana vitu vingi vya kununua nje kuliko kuuza nje, wanaoingiza pesa za kigeni ni wachache kuliko wanaozitoa! hili ni tatizo kubwa na huingiza benki kuu katika madeni makubwa endapo kiasi icho hakipo benki kuu, hujumlishwa kama deni la taifa, ipo video ya mwigulu akielezea kuhusu deni la serikali na deni la taifa:
unaponunua kitu nje ya nchi unaomba mkopo wa dola kwa taifa lako kuweza kununua kitu nje, hivo katika madeni ya nchi lako pia linakuepo! serikali inapokopa kujenga mradi wa maendeleo inakua deni la serikali lakini yote yanatakiwa kulipwa na BOT, hivo basoi serikali inapopata mapato ya nchi kwa mazuzo ya biadhaa ama utalii basi huwajibika kuwalipa madeni haya pia: MWISHO
View: https://www.youtube.com/watch?v=igd9hFq5iPk&pp=ygUVbXdpZ3VsdSBkZW5pIGxhIHRhaWZh
Exchange rates ni nini:
ni Bei ya makubaliano inaotumika kwa nchi husika ama taasisi kufanya biashara na nchi ingine, kwa mfano unaweza kuskia TSH/KSH NI 19:1 maaana yake kwa kila Tsh 19 iliopo tanzania basi utapewa Ksh 1, unaweza kuichukulia kama unfair ila kuna sababu kubwa kwanini hizi rates zipo
Exchange rates znatoka wap:
Zinatoka kwenye makubaliano (Siasa). Tuchukulie mfano Kenya amezoea kwenye bajeti yake kuna kiasi cha (Ksh 1B) kwa ajili ya kununua mazao tanzania, hivo basi kama kiasi icho ndo kitaweza kufika mahitaji ya chakula kwao basi BOT wataangalia reserve zao kuna kiasi gan ili watakapokea Ksh waweze kuwafidia watanzania waliouza mazao yao kwa kuwapa TSH, ni muhimu kufanya hivi kuepuka mwananchi kupokea KSH moja kwa moja, mazoea ya kupokea KSH moja kwa moja husababisha watu kukataa TSH hivo kudhoofisha Reserve iliopo BOT, kama wana kiasi cha kutosha basi watagawanya idadi ya kiasi kilicho kwa rate itakaoendana na kiasi watakacholipa kwa manunuzi haya peke yake, wanaweza kuja tena mara ingine ila rate inaweza kubadilika kutokana na reserve iliopo: Calculations zake zipo complicated kidogo ila ipo sku ntazileta apa:kwakua taarifa inatakiwa kua fupi tuendelee
Wakishafanya ile exchange basi KE hawatalipa kwa KSH bali itabaki kama deni BOT kwa lugha ya kitalaamu tunaiita (NEGATIVE ASSET): kenya watapoewa mazao yao alafu BOT itatoa kiasi kile cha pesa kwa Tsh na kitawapa wakulima, transaction itakua imekamilika
Tunapataje rate ya 1:19? nkimaanisha 1 Ksh = 19 Tsh
Jibu rahisi: makubaliano ila yanaendana na reserve ya Tsh iliobebwa na Benki kuu, however tatizo linakuja taasisi binafsi zinavotaka kufanya biashara kwa mfano:
Azam TV sign Sh22.7 billion deal to broadcast Kenya league
The Tanzania- based pay TV station acquired exclusive broadcast rights for an initial fee of $1million for this year
taarifa hii ni azam kununua haki za kuonyesha mpira wa kenya kwa sh 22.7B kiasi hiki ni kingi sana, kiasi kwamba benki kuu ya kenya inaweza isiwe na reservr ya hichi kiasi kwa mda huo mmoja japo hua ni mpango wa mda mrefu, hivo basi kutokana na reserve iliopo kenya wanaweza kusogeza rate juu kidogo kwa kiasi kinachoweza kua comfortable na reserve zao:
unaweza kua na maswali kwanini rate isiwe moja kila muda:
Rate haiwezi kua moja always kwa sababu kiasi kinachokuepo hakiwi sawa kile kile,