Tsh Milioni 420 za Wanyonge (Masikini) zifanyie nini kati ya yafuatayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?

b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?

c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?

d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania wote juu ya Kukabiliana na Majanga ya Moto?

e ) Apewe Mzee Mpili wa Yanga aende nazo kwa Waganga wake wa Kienyeji anaowajua (Watu wake) ili akaturoge Watanzania wote tuwe na Akili sana kuliko Viongozi wetu mbalimbali ambao hukurupuka kuja na Maamuzi ya Kipuuzi kwa Kigezo cha Kutuona Watanzania wote tuna Akili fupi a.k.a Wajinga ( Ngumbaru ) na wanatupeleka watakavyo?
 
Unazungumzia 420m zipi! Zile ambazo tayari zipo kwenye mpango wa kujenga sanamu au kuna zingine Tena?
 
a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?

b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?

c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?

d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania wote juu ya Kukabiliana na Majanga ya Moto?

e ) Apewe Mzee Mpili wa Yanga aende nazo kwa Waganga wake wa Kienyeji anaowajua (Watu wake) ili akaturoge Watanzania wote tuwe na Akili sana kuliko Viongozi wetu mbalimbali ambao hukurupuka kuja na Maamuzi ya Kipuuzi kwa Kigezo cha Kutuona Watanzania wote tuna Akili fupi a.k.a Wajinga ( Ngumbaru ) na wanatupeleka watakavyo?
Apewe Diamond kwa kuiwakilisha Tanganyika huko BET.
siyo za wanyonge, ni za matahiri walipa kodi, mnyonge halipi kodi, tena anagaiwa hea bure na TASAF.
 
a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?

b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?

c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?

d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania wote juu ya Kukabiliana na Majanga ya Moto?

e ) Apewe Mzee Mpili wa Yanga aende nazo kwa Waganga wake wa Kienyeji anaowajua (Watu wake) ili akaturoge Watanzania wote tuwe na Akili sana kuliko Viongozi wetu mbalimbali ambao hukurupuka kuja na Maamuzi ya Kipuuzi kwa Kigezo cha Kutuona Watanzania wote tuna Akili fupi a.k.a Wajinga ( Ngumbaru ) na wanatupeleka watakavyo?
Mi napendekeza hiyo (e) apewe mzee Mupili akaturoge tuwe na akili. Na tuwe wepesi kufanya maamuzi sahihi.
 
Tumpe tu Moo ili apunguze lile deni lake la bilioni 20 za klabu! Mashabiki tumechoshwa na ahadi zake hewa!

Muda si mrefu watani zetu watarudi enzi zao zileeee za kuitwa wa Kimataifa, huku sisi tukiendelea tu kuonekana mbumbumbu!
 
Zichukuliwe hizi 420 M zichanganywe na zilizopatikana mpaka sasa kwenye kodi ya uzalendo ya Zungu (miamala ya simu) zinunue ndege ndogo kwa ajili kuzimia moto na likabidhiwe jeshi la zimamoto ili Tanzania sasa iweze kumiliki ndege yake yenyewe ya kuzimia moto. Kumbuka hata mlima Kilimanjaro unapowaka moto hasa kipindi cha kiangazi ndege ziznazotumika kuzima moto huwa zinakodishwa kutoka nchi jirani ya Kenya. Hii ni ni hatari na ni aibu kabisa.

Au iuzwe ndege moja ya abiria pesa itakayopatikana inunuwe ndege ya kuzimia moto wakabidhiwe jeshi la zimamoto nchini ili kukabiliana na majanga ya moto kwenye mazingira yoyote kama ilivyotokea sokoni Kariakoo.

Hili suala la majanga ya moto tunalifanyia mzaha sana lakini ipo siku litatokea mahali ambapo hatukutegemea maana moto huwa hauchagui ndipo tutakapojua kuwa vifaa vya kisasa vya zimamoto ni muhimu kuliko vitu vingine vingi ambavyo havina havina umuhimu kama ujenzi wa sanamu.
 
Ukitaka kuifelisha TZ kumbe ni kuwasha Moto tu.
 
Nina uwakika angekuwa mwingine ndo ajengewe harafu muidhinishaji hizo pesa angekuwa ndo anaeidhinisha zitoke asingekubali
 
Zichukuliwe hizi 420 M zichanganywe na zilizopatikana mpaka sasa kwenye kodi ya uzalendo ya Zungu (miamala ya simu) zinunue ndege ndogo kwa ajili kuzimia moto na likabidhiwe jeshi la zimamoto ili Tanzania sasa iweze kumiliki ndege yake yenyewe ya kuzimia moto. Kumbuka hata mlima Kilimanjaro unapowaka moto hasa kipindi cha kiangazi ndege ziznazotumika kuzima moto huwa zinakodishwa kutoka nchi jirani ya Kenya. Hii ni ni hatari na ni aibu kabisa.

Au iuzwe ndege moja ya abiria pesa itakayopatikana inunuwe ndege ya kuzimia moto wakabidhiwe jeshi la zimamoto nchini ili kukabiliana na majanga ya moto kwenye mazingira yoyote kama ilivyotokea sokoni Kariakoo.

Hili suala la majanga ya moto tunalifanyia mzaha sana lakini ipo siku litatokea mahali ambapo hatukutegemea maana moto huwa hauchagui ndipo tutakapojua kuwa vifaa vya kisasa vya zimamoto ni muhimu kuliko vitu vingine vingi ambavyo havina havina umuhimu kama ujenzi wa sanamu.
Tatizo siyo vifaa mkuu, tatizo huwa ni hakuna maji...hata wakinunua ndege za kuzimia moto nazo zitakuwa hazina maji
 
Back
Top Bottom