GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unauliza Condoms Gesti?Unazungumzia 420m zipi! Zile ambazo tayari zipo kwenye mpango wa kujenga sanamu au kuna zingine Tena?
Apewe Diamond kwa kuiwakilisha Tanganyika huko BET.a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?
b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?
c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?
d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania wote juu ya Kukabiliana na Majanga ya Moto?
e ) Apewe Mzee Mpili wa Yanga aende nazo kwa Waganga wake wa Kienyeji anaowajua (Watu wake) ili akaturoge Watanzania wote tuwe na Akili sana kuliko Viongozi wetu mbalimbali ambao hukurupuka kuja na Maamuzi ya Kipuuzi kwa Kigezo cha Kutuona Watanzania wote tuna Akili fupi a.k.a Wajinga ( Ngumbaru ) na wanatupeleka watakavyo?
420 hatoshi sanamu nzuri ,iongezwe walu ifike bilioni moja.Pesa niya sanamu acha chochoko mkuu"alisikika mlevi mmoja akisema
Mimi nilikuwa napendekeza na Njiwa moja iliyo nunuliwa cash iwekwe karibu na sanamu iwe kivutio Cha utalii420 hatoshi sanamu nzuri ,iongezwe walu ifike bilioni moja.
Mi napendekeza hiyo (e) apewe mzee Mupili akaturoge tuwe na akili. Na tuwe wepesi kufanya maamuzi sahihi.a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?
b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?
c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?
d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania wote juu ya Kukabiliana na Majanga ya Moto?
e ) Apewe Mzee Mpili wa Yanga aende nazo kwa Waganga wake wa Kienyeji anaowajua (Watu wake) ili akaturoge Watanzania wote tuwe na Akili sana kuliko Viongozi wetu mbalimbali ambao hukurupuka kuja na Maamuzi ya Kipuuzi kwa Kigezo cha Kutuona Watanzania wote tuna Akili fupi a.k.a Wajinga ( Ngumbaru ) na wanatupeleka watakavyo?
Kama ni hivo, tambua kwamba zile tayari zimeshawekwa kwenye mpango sio za kuzijadili Tena mzeeUnauliza Condoms Gesti?
Ukitaka kuifelisha TZ kumbe ni kuwasha Moto tu.Zichukuliwe hizi 420 M zichanganywe na zilizopatikana mpaka sasa kwenye kodi ya uzalendo ya Zungu (miamala ya simu) zinunue ndege ndogo kwa ajili kuzimia moto na likabidhiwe jeshi la zimamoto ili Tanzania sasa iweze kumiliki ndege yake yenyewe ya kuzimia moto. Kumbuka hata mlima Kilimanjaro unapowaka moto hasa kipindi cha kiangazi ndege ziznazotumika kuzima moto huwa zinakodishwa kutoka nchi jirani ya Kenya. Hii ni ni hatari na ni aibu kabisa.
Au iuzwe ndege moja ya abiria pesa itakayopatikana inunuwe ndege ya kuzimia moto wakabidhiwe jeshi la zimamoto nchini ili kukabiliana na majanga ya moto kwenye mazingira yoyote kama ilivyotokea sokoni Kariakoo.
Hili suala la majanga ya moto tunalifanyia mzaha sana lakini ipo siku litatokea mahali ambapo hatukutegemea maana moto huwa hauchagui ndipo tutakapojua kuwa vifaa vya kisasa vya zimamoto ni muhimu kuliko vitu vingine vingi ambavyo havina havina umuhimu kama ujenzi wa sanamu.
Tatizo siyo vifaa mkuu, tatizo huwa ni hakuna maji...hata wakinunua ndege za kuzimia moto nazo zitakuwa hazina majiZichukuliwe hizi 420 M zichanganywe na zilizopatikana mpaka sasa kwenye kodi ya uzalendo ya Zungu (miamala ya simu) zinunue ndege ndogo kwa ajili kuzimia moto na likabidhiwe jeshi la zimamoto ili Tanzania sasa iweze kumiliki ndege yake yenyewe ya kuzimia moto. Kumbuka hata mlima Kilimanjaro unapowaka moto hasa kipindi cha kiangazi ndege ziznazotumika kuzima moto huwa zinakodishwa kutoka nchi jirani ya Kenya. Hii ni ni hatari na ni aibu kabisa.
Au iuzwe ndege moja ya abiria pesa itakayopatikana inunuwe ndege ya kuzimia moto wakabidhiwe jeshi la zimamoto nchini ili kukabiliana na majanga ya moto kwenye mazingira yoyote kama ilivyotokea sokoni Kariakoo.
Hili suala la majanga ya moto tunalifanyia mzaha sana lakini ipo siku litatokea mahali ambapo hatukutegemea maana moto huwa hauchagui ndipo tutakapojua kuwa vifaa vya kisasa vya zimamoto ni muhimu kuliko vitu vingine vingi ambavyo havina havina umuhimu kama ujenzi wa sanamu.
Tuliokuwa karibu na gari lao lile la kwanza tuliona wanahangaika kuliwasha haliwakiTatizo siyo vifaa mkuu, tatizo huwa ni hakuna maji...hata wakinunua ndege za kuzimia moto nazo zitakuwa hazina maji