Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
TARURA, wamekubali kuwa value for money 👍Daraja la Godwin Kunambi la tsh 31 milioni umeliona lakini?!
Huu utaratibu wa kusema rais katoa hela ukoje? Rais anatumia kodi zetu, inatakiwa waseme Serikali imetoa hela. Ndio maana baadae hawa viongozi wanasifiwa mpaka wanakuja kujiona miungu watu.