Umeniwahi ndg,nami nilitaka nimuulize mtoa mada hili swaliStory yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi ndg,nami nilitaka nimuulize mtoa mada hili swaliStory yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
Umeniwahi ndg,nami nilitaka nimuulize mtoa mada hili swaliStory yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
Sukari imekolea sana hadi imepoteza ladha halisi ya chai [emoji16]Mbona chai ya moto sana!
Unajieleza kupitia ID fake na kujijibu we mwenyewe kwa ID fake ukijipongeza [emoji848][emoji2]Very true kaka
Biashara ni kipaji sawa na hekima au upumbavu ndiyomaana elimu ya darasani haijawahi kuwa sahawia katika mipango, mbinu, utekelezaji, usimamizi na upataji wa faida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana. Hii sio chai mzee ni true story kwenye utafutaji kuna kupoteza pia. Unapotafuta parefu na kupoteza ni parefu pia. High Risk, High Return na kupoteza ni hivyo hivyo.
[emoji117][emoji91][emoji1]Hata mtaji si uliupata shwaaa..hakuna cha ajabu kupotea shwaa
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
[emoji119][emoji56]Story yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
🙊mzee baba (sijui huko alipo ni kiongozi wa malaika au anapigwa kama ngoma)
Kwa hiyo jamaa katupiga kamba ndeeeefu sana😆😂Story yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
Hili ndio limenishtuaStory yako umetia chumvi japo lengo la kutia chumvi linajulikana
Nov. 2018 serikali ndio ilitangaza kununua korosho ( mpaka sasa miaka minne tu imepita) ila wewe umeshakaa miaka 7
Walikuwa weziIla magufuli alijua kuumiza watu kwenye korosho na bado hawakuziuza...
Mitaji ya watu wwngi sana ilienda na bado hawakulipwa.
Hawatamsahau
Boss 2018 Jiwe ndo alianza kununua korosho ukipiga hesabu ni miaka 4 imepita mpaka sasa.Starehe mnazipenda ila mwisho wake MBAYA. Wengi wameteketea kwa kuendekeza UMALAYA.
Ishi vizuri, kula vizuri, fanya mazoezi na umrudie Muumba wako.
___________________________________________________________
Nikiwa na miaka 24 pindi tu baada ya kuhitimu elimu yangu ya chuo kikuu niliingia mtaani, akilini na moyoni nikiwa na hari ya kuanzisha kampuni yangu. Ndoto niliyokuwa nayo tokea naingia form 3 ambapo niliacha masomo ya sayansi na kufwata kile moyo ulichoniambia KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA.
Basi bana mwaka wa kwanza ukaisha nipo kitaa, moja haisimami mbili haikaii. Mwaka uliofwata nikiwa mtaani, nikaaanda mpango wangu biashara (ambao kwa sasa nikiusoma naona makosa mengi sana) nikaongea na wadau wawili watatu kupata mtaji wa biashara. Mungu si athumani wala hadija nikafanikiw kupata mtaji wa shillings 60,000,000.
Nikaingia kwenye biashara ya ununuzi (ulanguaji al-maarufu KANG'OMBA) korosho huko Mtwara wilaya ya Masasi. Simu wa kwanza mambo yalienda vizuri hela ilirudi. Nikaamua kwenda Uganda kufanya utafiti biashara ya mchele kule sasa mambo ndipo yaliponiendea kidogo kombo maana nilianza kupoteza taratibu pesa.
Long story short, nilikuja kupoteza pesa Million 60 shwwaaaaaa zikapotea zoootee kwenye korosho pale mzee baba (sijui huko alipo ni kiongozi wa malaika au anapigwa kama ngoma) aliposema serikali inaubavu wa kununua korosho (nyooo walijuta kilichowakuta).
Nilikaa kitaa miaka 7 sina uelekeo zaidi ya kuwa chawa kwa mwanangu wa ukwelii. Ila nilichojifunza ukianguka chukua muda kunyanyuka angalia mazingira ulipodondokea ukiwa bado chini, yatathmini mazingira husika kisha ndio unyanyuke.
IMEKUWA MAUMIVU MAZITO ILA AKILI YA KUYASHINDA NILIJAALIWA NA MUNGU.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu...unasema ulikaa kitaa miaka 7 while issue ya Mzee baba nakorosho ni ya Nov 2018-2019 ht miaka mi4 haijatimia..Starehe mnazipenda ila mwisho wake MBAYA. Wengi wameteketea kwa kuendekeza UMALAYA.
Ishi vizuri, kula vizuri, fanya mazoezi na umrudie Muumba wako.
___________________________________________________________
Nikiwa na miaka 24 pindi tu baada ya kuhitimu elimu yangu ya chuo kikuu niliingia mtaani, akilini na moyoni nikiwa na hari ya kuanzisha kampuni yangu. Ndoto niliyokuwa nayo tokea naingia form 3 ambapo niliacha masomo ya sayansi na kufwata kile moyo ulichoniambia KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA.
Basi bana mwaka wa kwanza ukaisha nipo kitaa, moja haisimami mbili haikaii. Mwaka uliofwata nikiwa mtaani, nikaaanda mpango wangu biashara (ambao kwa sasa nikiusoma naona makosa mengi sana) nikaongea na wadau wawili watatu kupata mtaji wa biashara. Mungu si athumani wala hadija nikafanikiw kupata mtaji wa shillings 60,000,000.
Nikaingia kwenye biashara ya ununuzi (ulanguaji al-maarufu KANG'OMBA) korosho huko Mtwara wilaya ya Masasi. Simu wa kwanza mambo yalienda vizuri hela ilirudi. Nikaamua kwenda Uganda kufanya utafiti biashara ya mchele kule sasa mambo ndipo yaliponiendea kidogo kombo maana nilianza kupoteza taratibu pesa.
Long story short, nilikuja kupoteza pesa Million 60 shwwaaaaaa zikapotea zoootee kwenye korosho pale mzee baba (sijui huko alipo ni kiongozi wa malaika au anapigwa kama ngoma) aliposema serikali inaubavu wa kununua korosho (nyooo walijuta kilichowakuta).
Nilikaa kitaa miaka 7 sina uelekeo zaidi ya kuwa chawa kwa mwanangu wa ukwelii. Ila nilichojifunza ukianguka chukua muda kunyanyuka angalia mazingira ulipodondokea ukiwa bado chini, yatathmini mazingira husika kisha ndio unyanyuke.
IMEKUWA MAUMIVU MAZITO ILA AKILI YA KUYASHINDA NILIJAALIWA NA MUNGU.
Kama kuna sehemu imekufunza au kukufurahisha basi hilo ndilo unatakiwa kuondoka nalo hapa. Kuhusu accuracy ya taarifa hilo mniachie mwenyewe maana nyie halitawasaidia kwa chochote.Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu...unasema ulikaa kitaa miaka 7 while issue ya Mzee baba nakorosho ni ya Nov 2018-2019 ht miaka mi4 haijatimia..
Nilitaka nisone tu comment. Acha nicomment na mimi…Kama kuna sehemu imekufunza au kukufurahisha basi hilo ndilo unatakiwa kuondoka nalo hapa. Kuhusu accuracy ya taarifa hilo mniachie mwenyewe maana nyie halitawasaidia kwa chochote.
Nilichokiandika nakijua na ninaelewa kwanini nimeandika hivyo.
Comment nyingi mnasema nadanganya, JE TULIKUWA WOTE?? Kama haukuwa na mimi MANGAKA kwenye kufaulisha KOROSHO za dili usiseme ni UONGO.
Soma kisha pita kule, kama kuna la kujifunza jifunze.
Sawa wewe ni mkweli. Umefurahi??Nilitaka nisone tu comment. Acha nicomment na mimi…
WEWE NI MUONGO