Tshabalala alikuwa miongoni mwa wasaliti ndani ya Simba, akiondoka nitafurahi sana

Kwa Walimwengu Walivyokuwa Hawana Maana,,Wala Hatushangai...Na Ndio Maana Bora Mbuzi Tu....Mohammed Hussein Angejinywea Zake Mchuzi Tu....
 
Usaliti wa Shabalala unaujua wewe,ila sisi uwanjani tunamwona anapmbana,hivi beki kama Shabalala humshawishi aongeze mkataba kabla haujaisha anaachwa tu ili ashushe dau,mpira ni ajira kama anazinguliwa kuna timu zingine zinahitaji huduma zake na siyo kumchafua na kuongea upupu
 
Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
Wacha hizo, kama amepata malisho mazuri mwache aende sisi Simba hatuna deni naye, huyo siyo mwanachama wala shabiki alikuwa mwajiriwa tu wa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…