Tshabalala amemdhalilisha meneja wake, Henry Mzozo

Kama Simba Inge waongezea mikataba mapema aya yote yasingetokea mnatakiwa muwahoji viongozi wenu si kuwalaumu wachezaji. Wachezaji mpira ni maisha yao.
Nyinyi ajibu na gadiel Michael mliwapa mikataba mapema, mmekaa kufatilia mambo ya Simba wakati ya kwenu yanawashinda
 

Umefanya kutype maoni ya Georgejob wa Wasafi FM na ukayaleta hapa na wewe unajiona mjanja sasa,hakuna formula ya kutambulisha mchezaji,kama alishakubali kusign hata Simba wangeweza subiri na kumtambulisha leo,walichokifanya jana ni kuwakata ngembe watu kama nyinyi Utopolo maana mmekuwa na hasira sana baada ya Ma Captain wote kutambulishwa jana[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dauda ni simba,watu wa mikia awajajua tu km dauda alikua anawashtua na yeye hao wachezaji mwisho wa msimu wangekua wachezaji wa Yanga,mikia mumshukuru sana mkia mwenzenu sio wa kumlaumu kabisa
Dauda ni Simba ndio Ila hajawahi kuitakia mema Simba, na saiz ana hasira Sana kutokana na deal la vunjabei na Simba kuhusu jezi, naww nyani Kwa akili zako za usiku unaamini kuwa kuna mchezaji ambae anapata namba Simba atatoka aende Yanga?

Hivi nyie akili zenu zipo kwenye Hilo tundu huko Nyuma ambalo waga mmeweka Huo mwiko wenu au? Mlianza kuambiwa Morrison mchezaji wenu, mkaambiwa shishimbi kasaini mkaamini,mkaja Kwa Chama mkashupaza shingo weee ikaisha kimya kimya, mkaambiwa zimbwe tena bado mnaamini Tu, akili za mashabiki wa Yanga zinashangaza sana
 
Mashabiki wa Yanga wana stress sana.

Njia pekee ni kutoa mapovu

Usiwashangae kabisa
.hapa si unawaona wanavyopayuka
[emoji3]
 
Wewe **** angalia wa kuwaquote upumbavu,tafuta wafiraji **** wewe
 
Mbona mihemko we utopolo, we si ume mquote mshkaji pale juu mbona hajaleta mambo ya kike kama yako, punguza stress mkuu kwani lazima ushabikie yanga
Wewe umeanza kutukana hapo juu, nyie Mbumbumbu Fc sijui kwanini matusi kwenu mnaona ndio ujanja
 
Hajamdhalilisha wala kumvunjia heshima bali Mzozo kajivunjia heshima mwenyewe kwa kuongea vitu visivyo na uhalisia.
Mfano hai baada ya zimbwe kuaongeza mkataba mzozo akasema yeye sio meneja wake bali ni mlezi tu, hakukuwa na ofa zozote toka Afrika kusini bali alikuwa anajaribu kumpandisha hadhi, pia hakuna mantiki yoyote mzozo kudai akutane na Mo kwanza kama mameneja wengine ili iweje? Sio wote ni mameneja wazuri, wengine wachumia matumbo tu, rejea kwa msuva kujiunga na Raja bila kumshirikisha meneja aliyetaka kumpeleka uturuki.
 
Hivi nyie akili zenu zipo kwenye Hilo tundu huko Nyuma ambalo waga mmeweka Huo mwiko wenu au?
Nimecheka kufa dah hii comment imemaliza. Nafikiri kuna uhusiano flani kati ya rangi ya nguo ni kilichomo kichwani mwa mvaaji
 
Nimecheka kufa dah hii comment imemaliza. Nafikiri kuna uhusiano flani kati ya rangi ya nguo ni kilichomo kichwani mwa mvaaji
Mkuu hawa ndugu zangu akili zao wanazijuaga wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…