Mimi huwa nawazoomtu humu watu wanaoshadadia Urusi mara China ila kiukweli sisi huku Africa bila Amerca tutaishi kwa tabu sana ndoo maana akitutikisa kidogo tu tunalia. Hata huko China na Urusi ni dhahiri raia wao wanatamani maisha ya wamarikani ila ni vigumu Mmarekani kutamani maisha ya mchina, mrusi, mkorea au muirani. Pia tujiulize ni kwanini tunamlaumu mmarekani na raia karibu wa nchi zote ambapo nchi zao zina vita wanataka kukumbilia Marekani na sio Urusi, China au Iran au Pakistani. Nilichogundua mimi binadamu hasa wa Afrika ni wanafki sana. Na siku hizi vimeanza vionline media kibao vinaiponda Marekani na Kusifia China au Urusi. Ila ukweli pamoja na mabaya yake Amerca anafaida kubwa kwa Afrika kuliko hao wengine cha msingi tu nikujua namna ya kuishi naye.