Tshekedi, huenda akaingia mkataba wa kimadini na US, katika kulinda imaya ya Kongo!

Marekani ni kiranja mkuu wa utapeli kwa sasa hasa chini ya rais Trump.😁
Mimi huwa nawazoomtu humu watu wanaoshadadia Urusi mara China ila kiukweli sisi huku Africa bila Amerca tutaishi kwa tabu sana ndoo maana akitutikisa kidogo tu tunalia. Hata huko China na Urusi ni dhahiri raia wao wanatamani maisha ya wamarikani ila ni vigumu Mmarekani kutamani maisha ya mchina, mrusi, mkorea au muirani. Pia tujiulize ni kwanini tunamlaumu mmarekani na raia karibu wa nchi zote ambapo nchi zao zina vita wanataka kukumbilia Marekani na sio Urusi, China au Iran au Pakistani. Nilichogundua mimi binadamu hasa wa Afrika ni wanafki sana. Na siku hizi vimeanza vionline media kibao vinaiponda Marekani na Kusifia China au Urusi. Ila ukweli pamoja na mabaya yake Amerca anafaida kubwa kwa Afrika kuliko hao wengine cha msingi tu nikujua namna ya kuishi naye.
 
Tulipigania uhuru wa nini sasa. Zaidi ya miaka 60 ni kulia na kutoa kamasi tu eti bila Marekani, EU etc hatuwezi.Sijapenda sentensi ya mwisho.
 
Lobito corridor wanatafuta access ya copper ambayo.mchina anahodhi 72% ya copper yote Zambia na Kongo naona lobito korido inapita hadi Zambia naona ni katika kutafuta madini ya shaba na coltan usa ameamua kudeploy measure kama za mchina zile za BRI -belti and road initiative ila kiuhalisia Zambia na kongo ndio matajiri wa copper duniani ila usa alipokuwa amelala.mchina alishafika siku nyingi sana na ameshirikiana vizuri kiuchumi na kwa heshima na waafrika .
 
Himaya sio imaya,Dada Faiza Fox endelea kuturekebisha tafadhali
 
Tumepeleka wajeda kwa mgongo wa peacekeeping force wakafinyangwa kama udongo kwa kukosa experience ya real combat, hata Tshisekedi anajua kuwa we're not capable of helping ndiyo maana anabembeleza mabeberu.
 
Trump anaifwatilia congo na kasema ataanza na chawa wao rwaanda
 
Tulipigania uhuru wa nini sasa. Zaidi ya miaka 60 ni kulia na kutoa kamasi tu eti bila Marekani, EU etc hatuwezi.Sijapenda sentensi ya mwisho.
Mkuu ukisoma vizuri utaelewa, jua namna ya kuishi nao inamaana kubwa sana. Na pia mataifa yanategemeana inategemea ni nyanja ipi. Kinachoshangaza na baadhi ya watu wameibuka siku hizi wanaisema vibaya sana Amerca kana kwamba haina faida kwetu hicho ndio kitu ambacho mimi nimekipinga. Ukweli ni kuwa Amerca inafaida kubwa sana kwetu kuliko mataifa mengi ambayo tunayapa promo. Ukifanya kazi na Mmarekani au muingireza kuna ubinadam unauona tofauti na hao wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…