INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Heshima kwenu wadau..

Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc

Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni laki 9 ,,manufacture anaitwa Adkins, size ni kubwa kabisa A-3

Manufacture anaitwa Adkins..

pia kwa wanaohitaji huduma ya kuprint tshirt za shule, misiba, maofisi, vikundi karibuni sana.. page ya biashara yangu ni

Namba ya simu 0789 18 70 10

Pia kwa mahitaji ya kuprint tshirt za kazi yeyote na hata msimu wa kampeni karibuni

Kazi zangu za tshirts printing click link

Login • Instagram[/URL]
2258589_h5(2).jpg
2258588_h4(2).jpg
2258587_h3(3).jpg
2258587_h3.jpg
 
Kwa milioni kumi siwezi kununua hiyo, punguza kidogo
 
Nalazimika kuwa na printer ya aina gani, na karatasi za kuprint zinapatikana wapi na kwa bei gani?
 
inkjet ya kawaida moja unaweka kwa ajili ya sublimation( sublimation ink) nyingine kawaida kwaajili ya transfer paper (dye ink)
 
Mkuu uko wapi, kuna ndugu yng Leo kaja kuniulizia hiyo mashine
 
Ubungo dar es salaam.. namba ya simu imewekwa juu ya Tangazo
Mkuu naomba majibu ya haya..

1. Blank tee ni shi ngapi kwa bongo?

2. Je nikinunua hiyo mashine natakiwa niwe na nini tena?

3. Heat transfer kwa bongo ni shi ngapi?

Thanks in advance..
 
inkjet ya kawaida moja unaweka kwa ajili ya sublimation( sublimation ink) nyingine kawaida kwaajili ya transfer paper (dye ink)
Asante kwa ufafanuzi,lakini bado nataka kuelewa kitu kingine, je naweza kutumia hiyo inkjet kwa ajili ya kuprint vitu kama sahani/mug? Na sina ufahamu juu ya sublimation ink.
 
Mkuu naomba majibu ya haya..

1. Blank tee ni shi ngapi kwa bongo?

2. Je nikinunua hiyo mashine natakiwa niwe na nini tena?

3. Heat transfer kwa bongo ni shi ngapi?

Thanks in advance..

1. Blank tshirt bei ina vary kutokana na kitu kinaitwa gsm pia material yaliyotumika ambapo polister ni cheap kuliko 100% cotton, gsm ( ni kama uzito wa tshirt kiswahili swahili) bei inarange kuanzia 3000 per pcs mpaka 10,000 per pcs kwa round tshirts.. na polo pia kuanzia 4000 per pcs mpaka 15,000 per pcs

2. Ukinunua hii mashine unahitaji printer ya kuprintia transfer paper.. inkjet ama laser jet ...zinaanzia laki 3 mpaka milioni kutokana na brand na ukubwa wa printer, pia unahitaji computer yeyote ya kutengenezea graphic ya unachoprint

3. Heat transfer paper kwa bongo bei zina vary kutokana na brand.. transfer paper rim yake bei inacheza kuanzia 130,000 mpala 160,000 kwa rim. Kwenye rim kunakiwa na 100 pcs
 
Tofauti ya sublimation ink na dye ink ni Nini? Na paper za kuprint mugs/plates ni zipi?
 
Swali lako pana sana. Ili uelewe lazima uwe umeshawai kufanya printing ama kuzigusa inks na kuona zinavyokua kabla hujaprint.. hiyo ni topic ya kusoma zaidi ya mwezi mzima..

Ila naomba nikujibu kwa ufupi japo sijui kama utaelewa..

Dye inks ni aina za rangi ambazo ukizichanganya zina dissolves kabisa kama sukari kwenye chai ukikoroga vizuri... na sublimation inks ukizichanganya hazidissolve zinakuwa na kama small particles.. dye inks tunatumia sana kwenye batiki ama art yenye marangi rangi kama batiki. Huku sublimation inks tunatumia sana kwenye picture transfer printing ama logo inayofanana na picha ya kitu full color
 
Thanks,najaribu kuelewa. Kiufupi ni kwamba niliagiza press heat machine,nikaletewa pamoja na Epson printer na hizo transfer paper ambazo Ni light pamoja na dark,kwa bahati mbaya sijaanza kutumia kutokana na ratiba yangu ilivyokaa japo kulingana na tutorials mbalimbali nilizopitia nimeona kama kuna papers zaidi ya hizi natakiwa kutumia hasa kama nataka kuprint vitu kama mugs/plate. Pia nimeona Kuna sylicon paper inatumika japo haikuwa included kwenye hizi karatasi walizoleta,je,naweza kuipata separately na inauzwaje/wapi? Na hata nikitaka kuprint mfano namba/jina kwenye jezi natakiwa kufanyaje?
 
Back
Top Bottom