INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

INAUZWA Tshirt printer inauzwa - Heat press machine heavy duty

Thanks,najaribu kuelewa. Kiufupi ni kwamba niliagiza press heat machine,nikaletewa pamoja na Epson printer na hizo transfer paper ambazo Ni light pamoja na dark,kwa bahati mbaya sijaanza kutumia kutokana na ratiba yangu ilivyokaa japo kulingana na tutorials mbalimbali nilizopitia nimeona kama kuna papers zaidi ya hizi natakiwa kutumia hasa kama nataka kuprint vitu kama mugs/plate. Pia nimeona Kuna sylicon paper inatumika japo haikuwa included kwenye hizi karatasi walizoleta,je,naweza kuipata separately na inauzwaje/wapi? Na hata nikitaka kuprint mfano namba/jina kwenye jezi natakiwa kufanyaje?

sylicone paper ni non stick paper kusaidia wino usibaki kwenye heat press ama tshirt isiungue na joto la heat press, ni karatasi isiyoungua..

karatasi zinazofanya kazi kama hizi zinauzwa super market kwa jina la baking paper.. karatasi za kuokea mikate, so hata ukinunue baking paper itafanya kazi..

ama unaweza agiza aliexpress special ya heat press haifiki hata elfu 30 mpaka ikufikie mkononi kila kitu.

kuhusu namba na majina ni unanunue herufi na namba za vinly kwa bei ya jumla.. kisha unakuwa unaprint tu.. zile namba huwezi kuzitengeneza wewe mwenyewe.. unless uwe na mtaji mkubwa sana ununue vinly plotter machine.. ila watu wote wanaoprint Tanzania namba na herufi uwa wanazinunua separate kwa bei ya jumla
 
Ahsante sana kwa maelezo haya. wakati nafikiri kutafuta hiyo vinly plotter machine pamoja na kuagiza hizo sylicone paper nitatafuta hiyo baking paper. Hizi herufi na namba zinapatikana wapi kwa hapa Dar?
 
V
1. Blank tshirt bei ina vary kutokana na kitu kinaitwa gsm pia material yaliyotumika ambapo polister ni cheap kuliko 100% cotton, gsm ( ni kama uzito wa tshirt kiswahili swahili) bei inarange kuanzia 3000 per pcs mpaka 10,000 per pcs kwa round tshirts.. na polo pia kuanzia 4000 per pcs mpaka 15,000 per pcs

2. Ukinunua hii mashine unahitaji printer ya kuprintia transfer paper.. inkjet ama laser jet ...zinaanzia laki 3 mpaka milioni kutokana na brand na ukubwa wa printer, pia unahitaji computer yeyote ya kutengenezea graphic ya unachoprint

3. Heat transfer paper kwa bongo bei zina vary kutokana na brand.. transfer paper rim yake bei inacheza kuanzia 130,000 mpala 160,000 kwa rim. Kwenye rim kunakiwa na 10
Longtime niko na ham xan cku moja nifanye hiyo business but kw bahati mbaya i know nothing kuhuxu printing
Ombi pia swali
Naweza pata nafasi ya kuelekezwa ikiwa ntaja kwa office yako?
 
V

Longtime niko na ham xan cku moja nifanye hiyo business but kw bahati mbaya i know nothing kuhuxu printing
Ombi pia swali
Naweza pata nafasi ya kuelekezwa ikiwa ntaja kwa office yako?

Ofisini ni kwa ajili ya oda tu kama kampuni zingine. Ukihitaji training jisajili veta... tutakutana darasani na workshop veta
 
Shukran mkuu
vipi kuprint picha kwa t shirt inacost shngp

Kwa wastani ni tsh 3000 per 1 pcs.. pia inategemea na idadi ya tshirts na ukubwa wa picha.. bei inaweza shuka ama kupanda kwa hizo factor za idadi na ukubwa
 
Kwa wastani ni tsh 3000 per 1 pcs.. pia inategemea na idadi ya tshirts na ukubwa wa picha.. bei inaweza shuka ama kupanda kwa hizo factor za idadi na uku
Let me tak yuh number ntakuchek
 
Mtambo mpya wa kuprint logo za tshirt kwa urahis zaidi, herufi na namba za jezi pia umeingia.. kuprint tshirts haitumii jasho kubwa any more
 
Attachments

  • heat press film wet.mp4
    5.1 MB
Shukran mkuu
vipi kuprint picha kwa t shirt inacost shngp

Siku hizi tunatumia new machine. Imesaidia sana ku cut cost na ku maximize profit.

Mfano hizo logo za Tarura tumeziprint kwenye films then tunazitransfer kwa urahisi kwenye tshirts kwa kutumia heat press

IMG-20210927-WA0000.jpg
 
Attachments

  • heat press film wet.mp4
    5.1 MB
Unauzwa bei gani mkuu?

Mtambo tumeagiza china funsun bei imefika milion 15 mpaka kodi ya bandarini

Ni kama huo hapo unaona mchina anaprint kama karatasi za nailon film. Kisha anakata na mkasi.

Huo ndio unatumika kutengeneza hatua ya awali ya logo za tshirts
 
Duuh 15!

Kwa anaye anza unashauri awe na nini at the minimum level? Na mtaji unaweza chezea ngapi ili mtu aanze?

NB: Tofauti na screen print.
 
Duuh 15!

Kwa anaye anza unashauri awe na nini at the minimum level? Na mtaji unaweza chezea ngapi ili mtu aanze?

NB: Tofauti na screen print.

Anaeanza akiwa na heat press tu anaweza fanya kazi yeyote.. maana anatumia mbinu kama za mwanachuo hasiye na laptop ama printer.. madesa anaenda yatolea copy stationary. Na computer anaweza tumia za internet cafe.

Ukiwa na laptop na heat press hapo umejisaidia sana. Maana hutakwama kazi yoyote. Maana laptop unatumia ku design kazi.. then unaenda kwa watu wenye mashine kama hizi unaprint logo zako.. then hizo logo unarudi home kwenda kuzihamishia kwenye tshirts plain kwa kutumia heat press
 
Mtambo tumeagiza china funsun bei imefika milion 15 mpaka kodi ya bandarini

Ni kama huo hapo unaona mchina anaprint kama karatasi za nailon film. Kisha anakata na mkasi.

Huo ndio unatumika kutengeneza hatua ya awali ya logo za tshirts
Mambo ya DTF hayo, ila waambie powder ile ni sumu au na wewe hujui?[emoji1787][emoji1787]

Saa hii tupo na McCloud USA technology Powderless(no powder) DTF.
 
Mambo ya DTF hayo, ila waambie powder ile ni sumu au na wewe hujui?[emoji1787][emoji1787]

Saa hii tupo na McCloud USA technology Powderless(no powder) DTF.

No powder dtf hiyo sijaijua kaka.. dtf hatari sana ila tatizo spares na white
 
Back
Top Bottom