Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
DTF Technology mpya hiyo.No powder dtf hiyo sijaijua kaka.. dtf hatari sana ila tatizo spares na white
No powder DTF ni technology mpya McCloud technology kampuni ya kimarekani wamezindua week iliyopita.
Wenyewe wamekuja na special pre-treated DTF ink.
Changamoto kubwa ya DTF ni ink clogging hasa ile White ink. Inahitajika kutumika mara kwa mara au na kile kifaa cha kusafishia ambacho sasa itasababisha head isidumu.
Pia unaweza tumia Epson l1800 au 800 serious na Epson nyingine nyingi.
Ila hizo nilizotangulia kuzi mention kidogo speed sio nzuri sana, naweza recommend kutumia Epson xp15000 ambayo ipo vizuri.
Changamoto nyingine ni icc profile za hizi printer maana what you see on screen inaweza toka tofauti.
Ila hao FUNSUN WAPO VIZURI KWENYE MACHINE ZAO.
Kiujumla ni technology mpya hii.