Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ilikuwa issue ndogo tu ya kuongea.Blame everyone for your failure,kwanini asiongee na M23.
Fayulu asingeweza zuwia ulafi wa kigali, kabila aliacha watu wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,hapo bukavu jeshi halijapigana limeondoka tuUchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo.
Katika uchaguzi wa DRC wa mwaka 2018 ni wazi kwamba Martin Fayulu alishinda uchaguzi huo kwa kura nyingi sana lakini Kabila akaingilia Tume ya Taifa ya uchaguzi(CENI) kumsimika Tshisekedi aliyemuahidi atakuwa kibaraka wake.
Martin Fayulu alikuwa ni mgombea aliyeweza kuunganisha makundi mengi tofauti ya Congo, alikuwa na ushawashi mkubwa, huenda angeweza kuipa Congo ahueni kwa mara ya kwanza tofauti na Tshisekedi aliyeingizwa kwa msaada wa Kabila kupora uchaguzi.
Why??Every day you blame because your northing brother
Change topic now
Solution anayo yeye mwenyewe alafu ana kaa ana laumu watu kila sikuWhy??
Jamaa hana uwezo wa kutawala ile nchi. Hii ngoma ilikuwa inawafaa kina Jean Pierre Bemba, Moise Katumbi wa TP Mazembe au Fayulu.Solution anayo yeye mwenyewe alafu ana kaa ana laumu watu kila siku
Why na wewe
Yaan huyu ni sawa sawa na akina Steve nyerere mengeleJamaa hana uwezo wa kutawala ile nchi. Hii ngoma ilikuwa inawafaa kina Jean Pierre Bemba, Moise Katumbi wa TP Mazembe au Fayulu.
Hili bonge nyanya naliona kama JB wa Bongo movie tu
Yule mbongo tu. Siku mambo yakikaa wazi kabisa tutaona mengi.. hapo congo mafogo wengi kutoka nchi mbalimbali wananeemeka na hizo fujo.. usishangae hadi wabongo wapo.Kama ni hivyo,tz hapo wanaangalia tu,maana kabila ni mtanzania wa ubatizo
Badala apambane na M23/RDF ili aiokoe serikali yake, ameamua kuanzisha vita na Mstaafu.Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka sita iliyopita Tshisekedi hakushinda.
Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila.
Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu hilo tangazo halikufanyika kwa sababu Papa Francis alitoa maagizo Kanisa lisiingilie mambo ya siasa.
Halafu Tshisekedi mwenyewe alisema hakushinda Uchaguzi.
Lakini baada ya impasse (sintofahamu) ya siku chache,Tshisekedi akatangazwa kuwa president elect
Drc ipo uchi kabisa kwa intelijensia ya Rwanda...Fayulu asingeweza zuwia ulafi wa kigali, kabila aliacha watu wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,hapo bukavu jeshi halijapigana limeondoka tu