Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

Joseph Kabila inasemekana na Mtusi eti!
Rais Mstaafu Joseph Kabila inasemekana hakuwa mtoto halisi(Biological Son) wa Rais Mstaafu Joseph Desire Kabila. Inasemekana jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe Kazemberembe akiwa na asili ya Kitusi kutoka nchi ya Rwanda.

kabila_adresse_18_003_jpg_711_473_1.jpeg

Pamoja na machapisho mengi kumtambua Joseph Kabila kama mtoto halisi (Biological son) wa Hayati Joseph Desire Kabila, baadhi ya machapisho yamehabarisha kuwa baba mzazi wa Joseph Kabila Kabange anajulikana kama Christopher Kanambe Kazemberembe na mama yake akiitwa Marcellina Mukambukuje.

Maswali ambayo wakongo wengi wanajiuliza, ilikuwaje wakatawaliwa na Rais aliyezaliwa Rwanda na mwenye asili ya Kitusi kutoka Rwanda huku Moise Katumbi aliyezaliwa Congo DR na Mama Mkongo na Baba Mgiriki akiwekewa vikwazo na mamlaka kugombea urais!

Kabila.png

Rais Laurent Kabila akisalimiana na Joseph Kabila aliyevaa nguo za kijeshi

Kanambe.jpg
 
Kuna documentary niliona youtube ya jamaa yupo mafichoni ulaya huko (alikuwa mwanajeshi huko congo) anasema hata kifo cha laurent muhusika ni huyo huyo mwanae joseph. (inasemekana hata sio mwanae wa damu)
Kweli tupu
 
ilikuwaje wakatawaliwa na Rais aliyezaliwa Rwanda na mwenye asili ya Kitusi kutoka Rwanda huku Moise Katumbi aliyezaliwa Congo DR na Mama Mkongo na Baba Mgiriki akiwekewa vikwazo na mamlaka kugombea urais!
👆
 
Yani ilikuwa issue ndogo tu ya kuongea.
Kwamba bwana eeh nchi tumebarikiwa madini kibao tuungane tupige maokoto tujenge nchi na kulinda mipaka.
Ila kama kawaida yetu watu weusi yakaanza kubaguana kikabila. Mwenye pua pana anamuambia mwenye pua mchongoko wewe sio mcongo. Wajanja kina PK, Mu7 na Magharibi wakapitia kwenye mwanya huo huo.
km hujui kaa kimya , tafuta clip moja ya Kikwete alizungumzia hao m23 utaelewa , hao jamaa wanataka madaraka na sio mazungumzo
 
Mtoto wa juzi unaongelea mambo ya miaka ya jakaya ya 2000+... M23 ya kitambo mzee.. tafuta clip za nyerere kuhusu hili suala.. unajua kuwa watusi wote wa congo waliambiwa sio raia na wanabaguliwa? Mfano leo hii mtu aamke tu aseme waha na waangaza wote sio wabongo ni warundi kisa tu lugha zao zinafanana, utawalaumu wakianzisha uasi? Au labda unadhani watutsi wote wanatokea nchi ya rwanda hawa waliopo nchi ya drc walihamia tu?
 
Rais Mstaafu Joseph Kabila inasemekana hakuwa mtoto halisi(Biological Son) wa Rais Mstaafu Joseph Desire Kabila. Inasemekana jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe Kazemberembe akiwa na asili ya Kitusi kutoka nchi ya Rwanda.

kabila_adresse_18_003_jpg_711_473_1.jpeg

Pamoja na machapisho mengi kumtambua Joseph Kabila kama mtoto halisi (Biological son) wa Hayati Joseph Desire Kabila, baadhi ya machapisho yamehabarisha kuwa baba mzazi wa Joseph Kabila Kabange anajulikana kama Christopher Kanambe Kazemberembe na mama yake akiitwa Marcellina Mukambukuje.

Maswali ambayo wakongo wengi wanajiuliza, ilikuwaje wakatawaliwa na Rais aliyezaliwa Rwanda na mwenye asili ya Kitusi kutoka Rwanda huku Moise Katumbi aliyezaliwa Congo DR na Mama Mkongo na Baba Mgiriki akiwekewa vikwazo na mamlaka kugombea urais!

Kabila.png

Rais Laurent Kabila akisalimiana na Joseph Kabila aliyevaa nguo za kijeshi

Kanambe.jpg
Tresor Mandala
 
Nilizani chura kiziwi tu ndio popoma kumbe kuna hili kubwa jinga na mwili wake mkubwa
 
Back
Top Bottom