Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

Ndio maaana nikasema inaeza kuwa kweli au sio kweli inategemea na info alizonazo mtoa tuhuma
Tshekedi kuonyesha udhaifu mno kuliko hata Kabila.

Tshekedi hana hata nguvu ya kidiplomasia Ili awashawishi wakubwa wa Dunia wambane PK aondoe majeshi huko Drc kama serikali ya Kabila ilivyofanya mwaka 2012/2013, pia Tshekedi kashindwa kushawishi wababe wa kikanda kama Angola ziisaidie Drc kiulinzi.
 
Hii hata Mimi limenishangaza , nadhani anamtuhumu Kabila Kwa kushindwa kwake

Pichani, ni JKK na Cornell Nangaa,hapo JKK ni Rais wa DRC na Nangaa , Mwenyekiti wa CENI
 
Attachments

  • jkabila_et_corneille_nangaa_24_png_711_473_1.png
    jkabila_et_corneille_nangaa_24_png_711_473_1.png
    426.2 KB · Views: 1
Kwani Katiba inamruhusu Kabila kugombea tena miaka ijayo ?...

M23 inamnufaishi vipi Kabila?
hv katiba yao inaruhusu hiyo movement ya m23 inayoendelea , usijitoe ufaham ? hv nan wakuhoji iwapo Kabila akirudishwa madarakani? ( ingawaje maslai ya Kabila yanaeza isiwe madaraka )
 
Hii hata Mimi limenishangaza , nadhani anamtuhumu Kabila Kwa kushindwa kwake

Pichani, ni JKK na Cornell Nangaa,hapo JKK ni Rais wa DRC na Nangaa , Mwenyekiti wa CENI
ttzo la waswahili tunatumia akil ndogo kujibu akili kubwa , huyo Anajuwa kuliko wew , wew unatumia akil ndogo kujibu hoja zilizofanyiwa utafiti kabisa , huon hata Nanga amejiunga na M23 ambao walikuwa maadui siku za nyuma huez elewa anachosema jamaa ni kwel
 
Tshekedi kuonyesha udhaifu mno kuliko hata Kabila.

Tshekedi hana hata nguvu ya kidiplomasia Ili awashawishi wakubwa wa Dunia wambane PK aondoe majeshi huko Drc kama serikali ya Kabila ilivyofanya mwaka 2012/2013, pia Tshekedi kashindwa kushawishi wababe wa kikanda kama Angola ziisaidie Drc kiulinzi.
hv unahisi Rwanda anauwezo wa kufanga hayo yote pekee yake ? kumbuka hilo jeshi la DRC limekuwa likipambana na vikosi zaid ya 100 kwa miaka yote hii 20 , iweje leo waje wapoteze kirahisi mno dhidi ya kikundi kimoja , waafrika akil zetu zimelala ,, tunajadili mambo kwa hisia na uhalisia , Jeshi la DRC linaweza kuwa bora kuliko letu , iwapo Tz tutapitia msoto huo wa Drc naamin ni miaka 5 inatosha kuanguka kwa serikali mazima na nchi kubakia chini ya waasi mazima maana tuna jeshi lenye njaa kuliko ukanda huu , polis ukimpa hata buku anakulamba miguu
 
ttzo la waswahili tunatumia akil ndogo kujibu akili kubwa , huyo Anajuwa kuliko wew , wew unatumia akil ndogo kujibu hoja zilizofanyiwa utafiti kabisa , huon hata Nanga amejiunga na M23 ambao walikuwa maadui siku za nyuma huez elewa anachosema jamaa ni kwel
Hahahaha... ahsante km unaona sielewi
 
hv unahisi Rwanda anauwezo wa kufanga hayo yote pekee yake ? kumbuka hilo jeshi la DRC limekuwa likipambana na vikosi zaid ya 100 kwa miaka yote hii 20 , iweje leo waje wapoteze kirahisi mno dhidi ya kikundi kimoja , waafrika akil zetu zimelala ,, tunajadili mambo kwa hisia na uhalisia , Jeshi la DRC linaweza kuwa bora kuliko letu , iwapo Tz tutapitia msoto huo wa Drc naamin ni miaka 5 inatosha kuanguka kwa serikali mazima na nchi kubakia chini ya waasi mazima maana tuna jeshi lenye njaa kuliko ukanda huu , polis ukimpa hata buku anakulamba miguu
Mkuu niliwahi kumuuliza au kuuliza hili humu JF ,je ya FARDC .. naona nimepata sapoti
 
Tshekedi anavuna alichopanda Cha kuwabagua wabanyamlenge.sasa wabanyamlenge wanamtoa madarakani.Nawapongeza sana M23 Kwa kumshughulikia tshishekedi.piga kabisa masase Hawa FARDC
 
Back
Top Bottom