Tshisekedi atakimbia nchi

Tshisekedi atakimbia nchi

JPM angekuwepo hiyo vita ingesimama!
Kwa aliyeko,mmmhhh
Katika mtu aliye kuwa kilaza kwenye mambo ya nchi nyingine ni Magufuri.
Hata hivyo yeye ayatatue matitizo ya Congo kama nani? kama wanajeshi hawataki kupigana na wanawaachia miji m23 nyinyi muanze kuangamiza vijana wenu kuipigania kongo wakati wenye nchi yao hawana muda wa kuipigania.?
 
Aisee inasikitisha imagine anaandikisha tena m 23 kwenda kupigana jamaa kajichanganya sana aisee
 
gen makenga kwenye ubora wake nyikani
Hana lolote huyu sema Shekedi akili hana. Njoo DSM nenda cape town fanya lobbing ya maana. Huko German Tuma balozi zako. Wenyewe huko wameoagawa na Putin we unapelekanshida zako huko. Hapo hapo DRC inampigia kura jmaa wa Dibouti badala ya Raila wa East African Community mwenzake naiona Congo haiwez uzandiki nanhaina intelligence ya maana.
 
Ukishindwa kabisaa nenda kwa Trump toa madini upate ulinzi. Full stop. Mpe cobalt Trump akubakishe madarakani yeye anaenda kumuita Mshtk wa ICC wakati USA ashaipinga nani ata enforce Sasa Shekedi hana maarifa mengi na wenye maarifa wamemuacha Hadi huruma wakati mwingine
 
Vipi Tshisekedi bado ana ile Idea ya "Regime change" kuhusu Kigali 😁😆 au kipara kinamtoka jasho.
 
Laana ya kifo cha Lumumba inaitafuna Congo! Haitakuja kutulia kamwe.
 
huyo rais wa congo ni raia wa ubelgiji anakaa mtaa mmoja unaitwa matongee
 
Ukishindwa kabisaa nenda kwa Trump toa madini upate ulinzi. Full stop. Mpe cobalt Trump akubakishe madarakani yeye anaenda kumuita Mshtk wa ICC wakati USA ashaipinga nani ata enforce Sasa Shekedi hana maarifa mengi na wenye maarifa wamemuacha Hadi huruma wakati mwingine
Ni sahahi kugawa madini ya nchi Yako ili uendelee kulindwa ubaki madarakani? Mi naona kama Hana mipango yoyote yenye maslahi na Kongo ni Bora achukue tu Hela akimbie nchi awaachie wenzake.
 
Back
Top Bottom