Isoko isongole
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 105
- 124
Kwa hiyo yeye angepandisha morari ya wanajeshi,angewapa mafunzo, kuwalipa mishahara yao kununua silaha za kisasa na kuwafanya raia kulipenda jeshi la serikali?JPM angekuwepo hiyo vita ingesimama!
Kwa aliyeko,mmmhhh
Afu kumbuka kule ni congo sio Tanzania huku mnakosubiria makinikia yauzwe mgawiwe noah zinduka mkuu Magufuli alishakufa!