Tshisekedi atakimbia nchi

JPM angekuwepo hiyo vita ingesimama!
Kwa aliyeko,mmmhhh
Kwa hiyo yeye angepandisha morari ya wanajeshi,angewapa mafunzo, kuwalipa mishahara yao kununua silaha za kisasa na kuwafanya raia kulipenda jeshi la serikali?
Afu kumbuka kule ni congo sio Tanzania huku mnakosubiria makinikia yauzwe mgawiwe noah zinduka mkuu Magufuli alishakufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…