TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

tigo nawakubali sana hawajabadili kipigo kama mitandao mingine nisiyoiamini
 
Kwahiyo lengo lenu la kusema mnaboresha mnashusha bei halafu matokeo yake mkapandisha lilikuwa ni nini? Mlikuwa mnajaribu kuona kama waTz ni misukule au?
 
Heri ya sikukuu ya Pasaka Piga *148*30# au*150*71# au *148*30*35# ufurahie vifurushi vya DATA, SMS, UNI na BANDO TAM TAM vilivyoboreshwa kama ilivyokuwa awali

Vifurushi vyote vimerejea tangu jana. Samahani kwa changamoto zilizotokea.

#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1743058
Naomba namba ya huyo dada kwenye bango hapo juu...
 
Nipokeeni kesho nasajili laini yenu hakika nyumbani kumenoga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ttcl punguzeni zaidi data hiyo ni biashara ili mkiweza mteke soko hilo baadae mnatoa na promotion za kumwaga siku mkiongeza kidogo wananchi hawatapiga kelele na siku za sikukuu mnakua na promotion yenu ni kama hapa Telcom SA wanakimbiza mno wana data za mwezi za bei nzuri kwa hiyo mzunguko upo juu hao MTN na Voda wameweka mpaka watu wa kuzunguka mtaani ila hiyo telkom ni kiboko...
Asante sana kwa ushauri wako.


#RudiNyumbaniKumenoga
 
Back
Top Bottom