TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

tigo nawakubali sana hawajabadili kipigo kama mitandao mingine nisiyoiamini
 
Kwahiyo lengo lenu la kusema mnaboresha mnashusha bei halafu matokeo yake mkapandisha lilikuwa ni nini? Mlikuwa mnajaribu kuona kama waTz ni misukule au?
 
Naomba namba ya huyo dada kwenye bango hapo juu...
 
Nipokeeni kesho nasajili laini yenu hakika nyumbani kumenoga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asante sana kwa ushauri wako.


#RudiNyumbaniKumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…