TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Inasumbua mkuu, "bando tam" lililokuwa linanunuliwa na Tpesa (sh. 1000 gb 1.2gb na dk 10 mitandao yote kwa siku 5 wamelifuta...hahaha kampuni ya umma inafanya kazi kwa kuwaiga kampuni binafsi! Aibu!
Kweli mkuu, hawa jamaa wanazingua kinoma. Hapa nimenunua bando kwa line ya voda ndo nikarudi hewani.
 
Mnakula mishahara bure, vitu vya kutatua masaa mtachukua miezi. Rais aangaziee hii TTCL pia, inaonesha Uongozi na Usimamizi ni butu.
 
I love you more Mpandishamishahara, hili jina nahisi napandishiwa mshahara soon maana nimekutana na Boss mwenyewe mwenye mishahara yakeπŸ˜€πŸ˜€ hivi uliwaza nini hili jina lkn, husumbuliwi na wahitaji kweli?πŸ˜€
fungulia uzi swali lako, majibu yatakuja tu mkuu! Meimosi weka tibisii.
 
Mtandao wenu tu speed ya internet Ni majanga kwa baadhi ya maeneo...
Na Tulishawaambia rekebisheni network coverage yenu kwanza... Kisha punguzeni hizo bei zenu za bando... Kuna wenzenu 1gb/week = 1000
 
Mnakula mishahara bure, vitu vya kutatua masaa mtachukua miezi. Rais aangaziee hii TTCL pia, inaonesha Uongizi na Usimamizi ni butu.
Hili shirika limejaa vilaza au kuna watu wanafaidika haya mashirika binafsi yanavyopandisha vifurushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…