Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kwani GB 1 kwa 2K ni cheap?Ila member wa jf nyie kiboko..🤣🤣 Haya mashirika kabla hamjaleta matangazo humu wajipime huko kwanza maana si kwa michambo hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani GB 1 kwa 2K ni cheap?Ila member wa jf nyie kiboko..🤣🤣 Haya mashirika kabla hamjaleta matangazo humu wajipime huko kwanza maana si kwa michambo hii..
Sio cheap walahi..😅Kwani GB 1 kwa 2K ni cheap?
Duh hivi mtandao huu wakizenji bala bado upo?Zantel 1000/- napata 1.25gb + mins and sms per week.
Kaa kimya mbulula wewe, hii sio awamu ya baba yako stone.Muwe mnaona na aibu basi unajua hii ni sawa nakuwatukana watanzania,TTCL mtandao wa nyumbani 1 gb kwa buku mbili wenzenu airtel tunapata 2gb acheni usenge nyie ni watu wazima.
Kweli mkuu, hawa jamaa wanazingua kinoma. Hapa nimenunua bando kwa line ya voda ndo nikarudi hewani.Inasumbua mkuu, "bando tam" lililokuwa linanunuliwa na Tpesa (sh. 1000 gb 1.2gb na dk 10 mitandao yote kwa siku 5 wamelifuta...hahaha kampuni ya umma inafanya kazi kwa kuwaiga kampuni binafsi! Aibu!
Inatakiwa muwe mnalipia matangazo humu.#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1745362
Hivi nyie watu mko sawa kichwani?#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1745362
ailavyufainenshosevisezDuh 😀😀😀 hizi comments, inabidi wajitathimini kwakweli
Bila kusahau unapata 100dakk 😂😂Ilihali kwa buku tu, napata 1GB kwa wiki na halotel.
I love you more Mpandishamishahara, hili jina nahisi napandishiwa mshahara soon maana nimekutana na Boss mwenyewe mwenye mishahara yake😀😀 hivi uliwaza nini hili jina lkn, husumbuliwi na wahitaji kweli?😀ailavyufainenshosevisez
fungulia uzi swali lako, majibu yatakuja tu mkuu! Meimosi weka tibisii.I love you more Mpandishamishahara, hili jina nahisi napandishiwa mshahara soon maana nimekutana na Boss mwenyewe mwenye mishahara yake😀😀 hivi uliwaza nini hili jina lkn, husumbuliwi na wahitaji kweli?😀
sijawahi kumwamini mkalimani yoyote tanzania.Bila kusahau unapata 100dakk 😂😂
Haya nasubiri Tibisii usituangushe safari hii, unajiita mpandisha mishahara ila miaka yote hii holaa 😀🙌fungulia uzi swali lako, majibu yatakuja tu mkuu! Meimosi weka tibisii.
Hili shirika limejaa vilaza au kuna watu wanafaidika haya mashirika binafsi yanavyopandisha vifurushiMnakula mishahara bure, vitu vya kutatua masaa mtachukua miezi. Rais aangaziee hii TTCL pia, inaonesha Uongizi na Usimamizi ni butu.