TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kwa hiyo mmeambizana na wenzenu tiGO na Voda?

Mmeshindisha watu njaa na mmetembeza watu kwa miguu.

Kwendreeeeni huko!
 
mmedoda sana..

hapo ungeweka na ka dokezo... labda menu ya kuingia kupata huduma za T-pesa
 
bado tatizo lipo
 
1.Tabia ya kuzima SMS za wateja wenu wangali bado wametumia robo au nusu ya kifurushi kabla ya mwezi, Pigo hiyo acheni.

2.Hii ya kutuma SMS haziendi mara kwa mara wakati niko mjini kati Rock City na SMSC NO iko sahihi, Tatizo nini?

3.Ningetamani kuona STANBIC BANK mnaungana nayo ktk huduma ili nasi wenye a/c pale tupate raha ya kufanya miamala.

4.Mnaonaje mkiunganisha huduma ya VISA CARD na MASTERCARD ili tuweze ku-shop online?

5.Natamani iwepo namba nyingine badala ya 212121 ambayo ukirusha pesa inaingia T-PESA moja kwa moja kama pesa na si kama salio la simu.
 
JamiiForums
Home Of Greater Thinker Dare To Talk Open.
JPM Alisema Muende Mkawajibu Huko Kwenye Mitandao πŸ˜£πŸ˜πŸ€”πŸ˜πŸ•ΆπŸ’¨
 
kwa maana hiyo mmejoint na tigo? Wote mlipotea ghafla.
 
Tumekusikia ndugu mteja.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Shukrani sana kwa ushauri wako
 
Sio kweli mkuu natumia Ttcl na nina ishi. Dar apa apa ila kupata vocha na T pesa huwa. Ni issue mpk ni amishie kwa line ya voda au airtel ndio ni weze kutoa kwa wakala maana wakala n wachache na pia hawatoi huduma hasa hasa kutoa pesa labd kuweka wengi wao
 
Ijumaaa nme zinguka posta karibia half an hour ndio nka pata wakala anaye kubali kutoa pesa via Tpesa weng hawatoi wana dai transaction hazitembei kabisa hususan kuweka so ukija una taka kutoa wana kwambia hamna huduma
 
Kama kunakua na tatizo la kiufundi mtwambie kua kuna tatizo upande fulani na litachukua muda gani sio mpaka tuanze kulalamika ndo mseme..hao wataalam wa t-pesa wanatengeneza mpaka lini?
 
Mkuu ingekuwa deal ningekutafutia ila sijui hata inauzwa shs ngapi kwa sasa.

But sijui upo mkoa gani ?
Nko dsm ...Au niende pale hq karibu na ubaloz wa U.S.A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…