TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Naona mambo mazuri TTCL sasa 1000 GB4
TTCL kweli kabisa " nyumbani kumenoga" wana bando lao #tamtam la five days linalo patikana T-pesa, wanakupa 1.2GB na dakika 10 mitandao yote lina kasi ajabu!
 
Check huo mzigo wa vodacom, nafikir munajua ni jinsi gani internet ya voda ilivyo speed na ndio mana wanaringa, hii ndo menu yangu kupata ya kwako nenda *149*03# then 2 internate.
 
Ndo ujinga wao HAO jamaa.
Sasa kama MTU angetaka kutumia GB zake usiku si angejiunga hyo usiku?.
Ila mpaka MTU anajiunnga mchana ina maana anataka kuzitumia mchana
500mb 06:00-00:00
3.5 gb 00:00-06:00

kifupi hii itawafaa wazee wa movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…