Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwa hiyo bei speed tutajua uko uko. Kuliko kuuziwa 1.2GB kwa Elfu 3 hafu speed ya jet.Speed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo bei speed tutajua uko uko. Kuliko kuuziwa 1.2GB kwa Elfu 3 hafu speed ya jet.Speed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.
TTCL kweli kabisa " nyumbani kumenoga" wana bando lao #tamtam la five days linalo patikana T-pesa, wanakupa 1.2GB na dakika 10 mitandao yote lina kasi ajabu!Naona mambo mazuri TTCL sasa 1000 GB4
hilo bando ni lausiku kuanzia saa sita hadi 12 asubuhi, ila kati ya hizo 4GB, 500MB ni za mchanamkuu umesema kwa maachungu sana.
Tatizo la hii Menu *149*03# Ya kwako tu sio kwa woteCheck huo mzigo wa vodacom, nafikir munajua ni jinsi gani internet ya voda ilivyo speed na ndio mana wanaringa, hii ndo menu yangu kupata ya kwako nenda *149*03# then 2 internate. View attachment 1754811
Kwa airtel 3GB unapata kwa TZS. 2,000Check huo mzigo wa vodacom, nafikir munajua ni jinsi gani internet ya voda ilivyo speed na ndio mana wanaringa, hii ndo menu yangu kupata ya kwako nenda *149*03# then 2 internate. View attachment 1754811
kwa code gani mkuuKwa airtel 3GB unapata kwa TZS. 2,000
Sawa bwana Wazir KindambaNaona mambo mazuri TTCL sasa 1000 GB4
Hiyo ni kwa wachache tuuCheck huo mzigo wa vodacom, nafikir munajua ni jinsi gani internet ya voda ilivyo speed na ndio mana wanaringa, hii ndo menu yangu kupata ya kwako nenda *149*03# then 2 internate. View attachment 1754811
Unaipataje hii mbona mimi napewa GB 1?Kwa airtel 3GB unapata kwa TZS. 2,000
Mbona kwangu sioni mkuu nielekezeKwa airtel 3GB unapata kwa TZS. 2,000
mimi sehemu nilipo, airtel iko faster kuliko Vodacom, siku ikiwa nzuri huwa speed inafika 6MB/sMtandao utabaki kuwa voda tu japo wako expensive...
Hiyo mitandao mingine yote nimejaribu hamna kitu.
Upo mkoa gani Dar bado 1. 2GB kwa 3000Check huo mzigo wa vodacom, nafikir munajua ni jinsi gani internet ya voda ilivyo speed na ndio mana wanaringa, hii ndo menu yangu kupata ya kwako nenda *149*03# then 2 internate. View attachment 1754811
Hii unajiunga kwa kupitia eatel money ni ya siku 3 ila siku tatu zao ni kama siku nne hiviUnaipataje hii mbona mimi napewa GB 1?
Speed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.
500mb 06:00-00:00
3.5 gb 00:00-06:00
kifupi hii itawafaa wazee wa movie.
Internet yao ipo vizuri isipokua upande wa Instagram ndio inazngua haswa inachelewa kufungua pichaSpeed ya internet ipoje,sije ukawasha data hata picha haifunguki.