TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mm no yangu ni 0734279900...ilifungiwa na kibaya zaidi mkatoa instructions Airtel wafungie no yangu iliyopo kwao.
Wakaifungia kwa maelekezo yenu.
Mm nakaa Mbagala, mtandao wenu ikifika saa 12 jooni haupatikani hadi asubuhi saa 2, hivyo hua situmii sana line hiyo, hata ilipofungwa, sikujua.
Nilipoenda Airtel waifungue wakaniambi niende Extelecom building, nikawaona wahusika lkn wakakataa kutoa instructions Airtel, bt wakaniambia niwapelekee hiyo instructions, jana nimepata print out ya instructions toka Airtel,nikawaletea hapo Extelecoms. I expect by Monday itafunguliwa.
My complain ni nyie kutoa instructions kwa mtandao mwingine kufungia line yangu wakati mngewez kunipigia na kuniita ktk line ya TTCL...am very upset kwa both companies...kibaya zaidi mmeblock my NIDA ID, TCRA wamekataa kuiblock,wameniambia ni resolve with you.
Nilishaandika barua kujieleza Airtel how am using my line and it has never be on another hand who can conduct criminal events...
Am upset with your services and the business influence you have on other mobile phone subscribers...
 
Habari,
Samahani kwa changamoto iliyokutokea, ni kweli namba yako imefungiwa kwa kosa la kusambaza ujumbe wa kitapeli.
Wateja wengi waliiripoti namba yako kuhusika kuwatuma jumbe za kitapeli.
 
Kwa nini namba zenu zinatumika Sana na matapeli wanaotuma jumbe za tuma pesa kwenye namba hii?
 
Muongeze zaidi ubora wa huduma mshindane na makampuni ya kigeni.Ila mnajitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…