TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hii maana yake kwa Sisi watu wa mpira mpira tunaita " Own Goal "
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dream league limeshaachiwa playstore??
 
Nitajie shirika moja la umma lenye huduma nzuri...... Ni uozo kotekote
 
Pole kwa changamoto iyo, namba ya TTCL unayo tayari, nikusaide special number??
 
Mie nna mwaka sasa tangu nitupe line ya huo mtandao, sim card yenyewe kusoma Tu kwenye simu ilikua Hadi niisemeshe.🤣🤣, Nikajisemea tu hapana kwakweli, nikatupa line yao...
Pole kwa changamoto hiyo,tunaomba utufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Asante.
 
Watu hupenda kuongea vitu wasivyovijua mi nipo kijj ndani ndani voda haisomi kbsa ila baba lao ttcl naingia hadi YouTube
Pole kwa changamoto hiyo,tunaomba utufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…