DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
dah! nilifikiri peke yangu ndio nimekutana na kadhia hiyo...... hata mida ya mchana huduma yao ilikuwa inapotea.Jana kuanzia saa3 hadi usiku mnene hawakuwa na internet kabisa.asubuhi imerudi lakin bado ni 3G.
TTCL badilikeni bwana mnaboa,sio mpaka magufuli aje atumbue.
Jiwe nae kama anatumia TTCL naamini anaona huu uozo.
Sent using Jamii Forums mobile app
namshukuru Mungu jana usiku sikujiunga na kifurushi chenye mgawanyo wa muda kama bandika bandua (huenda ningelikata laini kwa hasira).
Baharia Wa Buza tunaomba utufikishie malalamiko yetu huko makao makuu, wewe pekee ndiye unayesikilizwa🏃♂️🏃♂️🏃♂️