TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kumbe kuna show nandy ndiyo ata perform

Hawa wasanii wanakula hela kiulaini

Ova
 
Hivi TTCL Ina managing director? Au CEO Au any responsible leader?
 
ukitka kujua kwann lava lava kamzd tako zuchu ndio apa yan Ttcl kuipata vocha yake utakubali show
 
Mmeshindwa kushawishi wafanyakazi wa Serikali kusajiri na kutumia laini za ttcl kwa lazima😂😂😂?

Kampuni za kiserikali zinachowaza ni namna ya upigaji pesa tuu, kila kinachoanzishwa kimetanguliza tamaa mbele yake, ndio maana hazidumu wala kuingia kwenye ushindani,

Hakuna mwenye uchungu na pesa,
Mtu akiangalia hana alichopoteza/wekeza, akiwaza mda wowote anahamishwa, mda wowote anafukuzwa, akiwaza kustaafu, anawaza kampuni/shirika likifa atabaki na nini?
Utakuaje na uchungu nacho???

Haya mawazo kwa mtu aliye tafuta pesa zake kwa jasho akawekeza hawezi waza,

Neno uzalendo linatumika vibaya, wengi wasiokula ni woga wa kutumbuliwa..

Kwa viongozi na watendaji wetu hawa, nchi kama hizi ubinafsishaji ni jambo muhimu sana,
Muuzie mwekezaji kampuni/shirika au fanyeni share, halafu ili asikuibie basi serikali ndio iwe msimamizi/mkaguzi wa mapato na matumizi, ila utendaji mwachie mwenye uchungu na pesa zake alizowekeza...
Mwekezaji akiwaza ubunifu wa kukuza kampuni na kutengeneza faida..
Hawa wanawaza ubunifu wenye upenyo wa upigaji,
Si umeona huyuu....
Kaleta uzi kapotea kwenda kuchukua pesa yake ya marketing hata angalau kuteta kinafki...

It looks like "Nenda kaposti tangazo kwenye social networks uje uchukue pesa za kazi yako"

Hata ingekua wewe nani aminyike kuja kupambana na akina Genta na wengineo humu???

Nyie mtakufa kifo kitakatifu na hamtozinduka tena, saa nyingine unaona bora mkufe ili na wapigaji wakufe njaa...
Halafu eti shirika likifa bado hawana huruma wanataka na mafao😂😂😂😂..
Daaa, Acheni iitwe futuhi..
 
TTCL hata aibu hamna?
Mtandao hapo jirani tu Kibaha haupatikani. Sehemu ya kununua vocha hamna. Hata waliolazimishwa na mwendazake kutumia laini zenu wameshazitupilia mbali. Always not reachable.
Hivi comments zetu mnazisoma?
 
TTCL mnahutajika kuwa makini zaidi, nyie ni shirika kubwa kongwe la umma! Ni dhihaka kuita hii habari BREAKING NEWS! Hata kama ni aina ya usanifu wa kufikisha ujumbe kwenye jamii sio hivi jamani
Mwisho wa siku tangazo limekosa ladha na msisimko
Kutengeneza tangazo lenye mvuto na msisimko kunahitaji uwekezaji wa pesa, muda, vitendea kazi na watu... Next time jaribuni kuwekeza zaidi kwenye ubunifu kuanzia kwenye maandishi, picha, rangi, sauti na graphics mtaona matunda yake
Asanteni!!!!
 
Nimewahi mwa spidi kama yote, mainbody imefanya ni nikashika BreakFast[emoji23]Nakugeuza direction.
 
Ninataka kuwapa idea kubwa ya biashara ambayo Vodacom na Tigo hawana. Nifanyeje?
Hapo inafanya mawasiliano na customer care representative ambao kwa hapa Tanzania wao na waajiri wao hawaithamini na hawathaminiwi kwenye kazi yao.

Kama una idea ya sales au marketing nenda kampun husika omba kukutana na mkurugenzi wa masoko na ili iwe rahisi kukutana na muhusika sababu wanecreate distance kubwa Kati yao na watumiaji wachini yao achilia mbali wateja wao sema unatokea kampuni yeyote ile
 
Back
Top Bottom