Mmeshindwa kushawishi wafanyakazi wa Serikali kusajiri na kutumia laini za ttcl kwa lazimaπππ?
Kampuni za kiserikali zinachowaza ni namna ya upigaji pesa tuu, kila kinachoanzishwa kimetanguliza tamaa mbele yake, ndio maana hazidumu wala kuingia kwenye ushindani,
Hakuna mwenye uchungu na pesa,
Mtu akiangalia hana alichopoteza/wekeza, akiwaza mda wowote anahamishwa, mda wowote anafukuzwa, akiwaza kustaafu, anawaza kampuni/shirika likifa atabaki na nini?
Utakuaje na uchungu nacho???
Haya mawazo kwa mtu aliye tafuta pesa zake kwa jasho akawekeza hawezi waza,
Neno uzalendo linatumika vibaya, wengi wasiokula ni woga wa kutumbuliwa..
Kwa viongozi na watendaji wetu hawa, nchi kama hizi ubinafsishaji ni jambo muhimu sana,
Muuzie mwekezaji kampuni/shirika au fanyeni share, halafu ili asikuibie basi serikali ndio iwe msimamizi/mkaguzi wa mapato na matumizi, ila utendaji mwachie mwenye uchungu na pesa zake alizowekeza...
Mwekezaji akiwaza ubunifu wa kukuza kampuni na kutengeneza faida..
Hawa wanawaza ubunifu wenye upenyo wa upigaji,
Si umeona huyuu....
Kaleta uzi kapotea kwenda kuchukua pesa yake ya marketing hata angalau kuteta kinafki...
It looks like "Nenda kaposti tangazo kwenye social networks uje uchukue pesa za kazi yako"
Hata ingekua wewe nani aminyike kuja kupambana na akina Genta na wengineo humu???
Nyie mtakufa kifo kitakatifu na hamtozinduka tena, saa nyingine unaona bora mkufe ili na wapigaji wakufe njaa...
Halafu eti shirika likifa bado hawana huruma wanataka na mafaoππππ..
Daaa, Acheni iitwe futuhi..