Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Upo sehemu gani mzee?TTCL inahujumiwa Au Kuna watu humo ndani Wanaigujumu ikose mapato,Yaende makampuni binafsi,
Kwanini Tangu jana Mtandao wa Internet uko Very very low?
Pole sana mwanaHawapo serious hao last 2 weeks walinizungusha kunipa data yangu baada ya system yao kuhusu bandika bandua walinizungusha zaidi ya wiki moja.Pigia sana customercare unaishia kuombwa radhi tu hawako serious hata kidogo.
TTCL inahujumiwa Au Kuna watu humo ndani Wanaigujumu ikose mapato,Yaende makampuni binafsi,
Kwanini Tangu jana Mtandao wa Internet uko Very very low?
Huu mtandao wamejaa wazee tupu kwahiyo hakuna msaada wowote.
Huu mtandao hapana. Mitandao km hii ya ovyo hutakiwi kuitumia
seenMimi ni mteja wa mda mrefu sana TTCL natumia sana simu za mezani.TTCL hawajali wateja kabisa nimenunua mpaka LUTA yao. Hawa TTCL wasipofundisha wafanyakazi wao kujali wateja,ni majanga tu.
Pole sana kwa changamoto hiyo.Kawnini netwok yenu haipatikani maeneo ya Mbagala rangi 3.
Pole sana kwa changamoto hiyo.Hawapo serious hao last 2 weeks walinizungusha kunipa data yangu baada ya system yao kuhusu bandika bandua walinizungusha zaidi ya wiki moja.Pigia sana customercare unaishia kuombwa radhi tu hawako serious hata kidogo.
HapanaKina limit ya kuperuzi baadhi ya tovuti au TTCL Customer Care
Asante kwa kutuandikia.Vifurushi vyenu mvipitie upya.
Shughulikeni na wataalamu wenu wa masoko mpate wateja wengi zaidi. Tumechoka gharama za Vodacom.
Boresheni utendaji
Halafu ya chuo ,wakati halotel ya kawaida kwa 2000 ni gb 1.6GB 1 kwa Buku 2? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]