TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hawapo serious hao last 2 weeks walinizungusha kunipa data yangu baada ya system yao kuhusu bandika bandua walinizungusha zaidi ya wiki moja.Pigia sana customercare unaishia kuombwa radhi tu hawako serious hata kidogo.
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.
Tunaomba utupatie namba yako ili tufuatilie na kutatua tafadhali.
 
TTCL MNAONGOZA KWA HUDUMA MBOVU YAANI SIJAWAHI KUONA
1. Vocha zinakwanguka na kupoteza namba kirahisi sana (nimepata hasara mara kadhaa kwa hili)
2. Huduma kwa wateja nayo ni mbovu sana, unapiga simu juu ya changamoto ya vocha kufutika Ili uwatajie serial namba wakujazie kama mitandao mingine muda huo huo unaambiwa baada ya masaa 24 (ikifika muda hujaziwi inabidi upige tena)
3. Kuunga vifurushi nayo changamoto (utadhani lazima mjuane ndio baadhi ya huduma update)
4. Kutuma meseji lazima urudie mara mbili ndio ikubali
 
Peruzi na Jisomee ukiwa na kifurushi cha Boom pack.Piga *148*30*35# kujiunga.
# RudiNyumbaniKumenoga

242124764_10159876295582884_8248153043985891511_n.jpg

241809262_10159866477527884_5047334905676809365_n.jpg
 
Kisasa zaidi.
Jipatie simu ya mezani na uwaunganishe watu kumi ndani ya mita 100 muinjoi kasi ya 4G ya ukweli kutoka TTCL.

236956288_10159808397377884_776851447133676337_n.jpg

Simu ina sifa zifuatazo

✔Intaneti ya 4G
✔WiFi
✔Kutuma ujumbe mfupi
✔Kupiga simu
✔Redio
✔Kuunganisha watu 10

Tembelea maduka ya huduma kwa wateja ujipatie ya kwako
#Nyumbani ni 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom