TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kaa tayari kwa mzigo mpya kutoka TTCL.
Mwambie na mwenzio arudi nyumbani kumenoga😄
#RudiNyumbaniKumenoga

IMG_20211119_141945_292.JPG
 
Hakuna cha maana ulichoandika hapo.Ulipaswa useme kuwa hicho kifurushi chenu ni MB ngapi kwa gharama zipi na kinadumu kwa muda gani ili sisi wa Tigo tufanye ulinganisho halafu tuone kama kifurushi chenu ni nafuu zaidi ili tuhamie TTCL.

Ulichofanya wewe ni kuwasiliana na wateja wenye line ya TTCL peke yake kana kwamba sisi wa Tigo kuhamia TTCL ni kosa na ni kitu kibaya kwenu.
 
Naomba majibu, kwanini asilimia 90 ya namba zinazosambaza sms za kitapeli zinamilikiwa na mtandao wenu? Mnakwama wapi ?
 
Kweli kabisa umetuacha hewani kwani tunaposema huyu huduma zake ni ghali na huyu nafuu tunafanya hivyo kwa kulinganisha binafsi juzi nimeachana na airtel baada ya kulinganisha kulinganisha na mtoa huduma mwingine
 
Bando lenyewe nyie mnatumia la bure BURE sasa unapost maneno mawili vidole kumi ,unataka nikanunue line yenu bila ya ufafanuzi
 
Huyo Dada hafanani kufanya kazi hapo kwenye kampuni ya kizee anatakiwa awahame kabisa
 
Ukitoa hiyo hela halafu uliza salio la kifurushi unauliza leo jibu keshokutwa

Ttcl ilisababisha ugomvi constantly kwenye mahusiano yangu nilikuwa naambiwa nna kiburi sijibu sms, wakat nikijibu text zinaenda ila hazifik yule mtoto wa watu akawa anatuma hadi screenshots as proof

Halafu sms unayotumiwa mchana inakuja jion unabaki hauelewi au hata kesho kabisa na kama vipi haiji
 
Hakuna cha maana ulichoandika hapo.Ulipaswa useme kuwa hicho kifurushi chenu ni MB ngapi kwa gharama zipi na kinadumu kwa muda gani ili sisi wa Tigo tufanye ulinganisho halafu tuone kama kifurushi chenu ni nafuu zaidi ili tuhamie TTCL.

Ulichofanya wewe ni kuwasiliana na wateja wenye line ya TTCL peke yake kana kwamba sisi wa Tigo kuhamia TTCL ni kosa na ni kitu kibaya kwenu.
Neno hilo!
 
Novemba 26,2021 Mkurugenzi wa Biashara Vedastus Mwita na Meneja Masoko Janeth Maeda wa TTCL Corporation wakizindua kifurushi kipya BUFEE PACK ambacho kinampa fursa Mteja kujitengenezea bando kwa gharama nafuu bila kikomo.
Piga *148*30# kisha chagua namba 6.
#RudiNyumbaniKumenoga

Image

Image
Naomba number za huyo demu mweupe pembeni kulia
 
Back
Top Bottom