TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ttcl nyie ni shirika la serikali cha kushangaza Wenzenu wakipandisha Gharama za vifurushi na nyie mnafata mnashindana na wananchi?
 
Kanungila Karim

Nakutafuta Mkuu. Naomba unikumbushe namna ya kuhamisha fedha kutoka account inayopokea Commission kwenda kwenye akaunti ya kuhudumia wateja.

Natanguliza Shukrani.

Restart

Piga *150*71#
Chagua namba 7
Kisha chagua namba 2(Transfer to wallet)
Kisha utachagua namba 1(Customer wallet)
Kisha chagua namba 3(Agent Wallet)
Ingiza kiasi
Kisha malizia kwa kuingiza neno siri yako ya T PESA.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Novemba 26,2021 Mkurugenzi wa Biashara Vedastus Mwita na Meneja Masoko Janeth Maeda wa TTCL Corporation wakizindua kifurushi kipya BUFEE PACK ambacho kinampa fursa Mteja kujitengenezea bando kwa gharama nafuu bila kikomo.
Piga *148*30# kisha chagua namba 6.
#RudiNyumbaniKumenoga

Image


Image
Kuna option ni vyema ingekuwepo. Cha usiku au masaa 24
 
Back
Top Bottom