TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ttcl nyie ni shirika la serikali cha kushangaza Wenzenu wakipandisha Gharama za vifurushi na nyie mnafata mnashindana na wananchi?
 
Kanungila Karim

Nakutafuta Mkuu. Naomba unikumbushe namna ya kuhamisha fedha kutoka account inayopokea Commission kwenda kwenye akaunti ya kuhudumia wateja.

Natanguliza Shukrani.

Restart

Piga *150*71#
Chagua namba 7
Kisha chagua namba 2(Transfer to wallet)
Kisha utachagua namba 1(Customer wallet)
Kisha chagua namba 3(Agent Wallet)
Ingiza kiasi
Kisha malizia kwa kuingiza neno siri yako ya T PESA.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Kuna option ni vyema ingekuwepo. Cha usiku au masaa 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…