TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Usiku wa kuamkia leo ilikuwa balaa si Intaneti wala T PESA.

Pote nilishindwa kuaccess
Huku Zaznibar ndio kabisa. Ukishuka boat hakuna lolote, zero mnara. Hakuna internet kabisa. Yaani ni km unaingia nchi nyingine, kumbe kote ni nchi moja kimuungano [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T PESA wamenipiga hela yangu nilinunua bando wakatuma meseji mtandao umesumbua kujaribu tena wananiambia sina salio dah nikachoka kupiga huduma kwa wateja simu dakika 30 hakuna wa kuipokea .wanakatisha tamaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bando langu la 5000 Ttcl wameamua wabaki nalo.nilikjiunga kila nikiingia net.mtandao hakuna.
Nimevunja line yao.
 
Yaani bando langu la 5000 Ttcl wameamua wabaki nalo.nilikjiunga kila nikiingia net.mtandao hakuna.
Nimevunja line yao.
Hata mimi nimeunga bundle but kwa muda wa wiki nzima line haipanďishi 4G wala 3G hadi hela yote imeisha tena nipo Magomeni hapa Dar.
 
Hao wapuuzi wana hela yangu toka majuzi, ukinunua kifurushi kupitia huduma yao ya tpesa wanadai salio halitoshi ukiwapigia ndio kabisa inaongea mitambo mpaka inakata yenyewe
 
Back
Top Bottom