Omary Mkundi
Member
- Aug 30, 2022
- 15
- 9
TTCL boresheni mtandao wekeni mawakala kila kona ya nchi kama mitandao mingine. tunashindwa kuwasapoti kwakua mtandao wenu mawakala wachache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana nyumbani mkuu, haujachelewa.Nina kumbukumbu mbaya sana na huduma za TTCL. Huduma mbovu sijawahi kuona yaani ilibidi nicheke badala ya kusikitika. Okay ilikuwa mwaka mmoja uliopita. Siku hizi wamebadilika? Maana nataka wanieletee home internet.
Kwanini laini zenu hazipatikani? Wiki mbili nilienda ofisini kwenu wakaniambia niende baada ya wiki laini zitakuwa zipo. Nimeenda leo laini hakuna. Nahitaji laini ya TTCLNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Kwanini laini zenu hazipatikani? Nilienda wiki 2 zilizopita kwenye ofisini yenu nikaambiwa laini hazipo, nimeenda tena leo laini hazipo.Karibu sana nyumbani mkuu, haujachelewa.
Walisema mwezi huu January 2023 mzigo wa laini mpya ungeingia rasmi sokoni.Kwanini laini zenu hazipatikani? Nilienda wiki 2 zilizopita kwenye ofisini yenu nikaambiwa laini hazipo, nimeenda tena leo laini hazipo.
Nahitaji laini
Zikifika naomba unitagWalisema mwezi huu January 2023 mzigo wa laini mpya ungeingia rasmi sokoni.
Kuwa na subira
UsiwazeZikifika naomba unitag
Sasa nani anatumia huo mtandao huko mtaani mpaka wauzaji wapate wakumuuzia vochaHivi vocha za TTCL wanatengeneza na madini gani?
Mbona kuzipata imekuwa taabu sana, yaani vocha kupatikana mtaani ni habari ya kushangaza.
Nyie TTCL kama kampuni mama ya mawasiliano nchini mnataka kufanya biashara au huduma? Nauliza kwa sababu hamuonekani katika biashara na katika huduma pia hampo.
Huduma zenu TTCL zinapatikana katikati ya miji kwa kiwango kizuri kidogo vipi huku mashambani au mtandao wenu ni kwa ajili ya watu wa mjini sisi wa mashambani tuendelee kutumia Buzz.
Kwanini TTCL msijitokeze nje ya ofisi mjitangaze watu wawajue nini mnafanya, naona kama mmejifungia ndani na promotion zikifanyika mitandaoni tu.
Ni mara chache sana mashirika ya umma kutoa huduma zenye kukidhi vigezo vya watumiaji kutokana na kubweteka ila najua mngekuwa na mikakati mizuri basi kila mtaa ungekuwa unaimba TTCL katika mtazamo chanya ila kelele za sasa ni malalamiko ya huduma, hii inadhihirisha kuwa bado hamna mikakati kabambe ya kuteka sekta ya mawasiliano nchini huwenda tuwape miaka mingi.
[emoji28][emoji28]Sasa nani anatumia huo mtandao huko mtaani mpaka wauzaji wapate wakumuuzia vocha
Hamko siriaz na mtandao wenuNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.
1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.
2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.
3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.
4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.
5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.
6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.
7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.
8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.
9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.
10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.
11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.
12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.
13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.
14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.
15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.
16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.
17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.
Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
Karibu.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Lazima utumie ttclHamko siriaz na mtandao wenu
Hivi mnajua kwamba line za simu za TTCL zimeadimika kabisa mtaani hazipatikani?Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu maana ulipo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate msaada toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza.
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
wakikujibu niite mbwaHivi mnajua kwamba line za simu za TTCL zimeadimika kabisa mtaani hazipatikani?
Je ni hujuma mnajihujumu wenyewe?
Je mnahujumiwa?
Je mmekata tamaa kwa sababu wateja wanakwepa underperformance ya customer care hafifu mliyonayo?
🤣😂wakikujibu niite mbwa
Mkuu huko tulipo tukipambania ugali bila hiyo lain hakuna mawasilianoLazima utumie ttcl
Hivi mnajua kwamba line za simu za TTCL zimeadimika kabisa mtaani hazipatikani?