TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Niliwakimbia mlikuwa mnaendesha biashara kama mnatusaidia. Vocha linakwanguka vibaya mnapigiwa mnaleta lugha gongana nikatupilia mbali laine yenu ilikuwa 2021 huko.

Nataka kuwajaribu tena kwenye home internet, vipi mmebadilika?
 

Eh! Kumbe?
 
Niliwakimbia mlikuwa mnaendesha biashara kama mnatusaidia. Vocha linakwanguka vibaya mnapigiwa mnaleta lugha gongana nikatupilia mbali laine yenu ilikuwa 2021 huko.

Nataka kuwajaribu tena kwenye home internet, vipi mmebadilika?
Karibu sana nyumbani
 
Duh nilitaka nipate line Yao nitumie kwenye net ila basi
 
kastama kea wa kampuni ya HALOTEL 13/2/2023 saa 7:35 usiku wanatuma sms yenye kichwa cha UTAPELI. Maelezo yake sasa "katika msimu huu wa valentine tunakushukuru kwa kutumia huduma zetu. Tunatoa surprise kwa wateja wetu watakao tembelea maduka yetu na kupata huduma. Asante!"

SWEET AFRICA
 
Nina kumbukumbu mbaya sana na huduma za TTCL. Huduma mbovu sijawahi kuona yaani ilibidi nicheke badala ya kusikitika. Okay ilikuwa mwaka mmoja uliopita. Siku hizi wamebadilika? Maana nataka wanieletee home internet.
Now TTCL wamebadilika, mambo ni byuti byuti,

#RudiNyumbaniKumenoga
 
  1. Kwanini vocha zenu zinapatikana dukani kwenu tu na mtaani zinapatikana kwa nadra sana?
  2. Kwani customer care yenu ipo inferior sana ukiwapigia customer care baada ya saa za kazi hawapokei simu, wakipokea wanakuambia tupigie kesho
1. Vocha za kukwangua zinapatikana Tanzania nzima, lakini unaweza pia kununua vocha kupitia TigoPesa, M-Pesa, HaloPesa na AirtelMoney, pia unaweza kununua kupita kwa wakala wa Selcom au kupitia benki.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Hivi kwa nini ninyi mmekosa ubunifu kiasi hiki aisee?
Mtategemea hadi lini kwamba huo Mkonga wa mawasiliano ndio 80% ya revenue zenu, Why can't come na other creavity mpige hela mbona mnaweza, whats problem?

Staring with...
1. Facilitate internet kwenye mashule yote nchini kwa kuanza muanze na Tech. Sec school, baadae shule nyingine na kuhakikisha kila mwezi wanalipia hiyo huduma kwa shule zilivyo nyingi Bongo mbona kuna hela ya nje nje?

2. Hakikisheni walimu wamegaiwa vishkwambi, good, why cant u come up na bando lao hata la 500 wapate GB hata 1 mbona mtapiga hela sana hadi hvy vishkwambi vipitwe na wakati.

Mna fursa nyingi ila hamzitumii....... shirikianeni na eGA na CoStech mnaweza toboa..

By the way hivi mnajipangaje na Ujio wa Starlink, jitahidi hata muwe agency wa ku supply device zake or else mtakosa kbs kitu cha kfanya na shirika kwa mara nyingine inaenda kufa kwa uzembe wenu!!
 
Mimi nipo MBINGA Mjini mtaa wa UZUNGUNI TOKA vibaka wamekata waya huu sasa mwezi 4 nimetoa ripoti Kwa fundi wenu haji na simu ya mezani KANISANI

Simu za kwanza mpaka mligawia watu wengine nashangaa.Mlinishawishi ninunue Ruta nimenumua situmii.

Nikilipia waya unakatwa fundi harudishi huduma.nimechangia tu nirudishieni japo simu
 
Nini kinashindikana kubalisha Sera inayotuma iliyopita na wakati na kutengeza Sera mpya (policy mpya) ili iendane na wakati tulionao Sasa ttcl bado inajiendesha kihenga Sana wako baadh ya wafanyazi wa ttcl wanajiaona bila wao ttcl haiwezi songa mbele ttcl imefika kufuliwa upya na kiwaweka wazoefu kwenye maswala mauzo ya mitandao ya sim Kama kina ally maswanya aliyemfanyia kazi Zaid miaka 20 halikadhalika tigo Zaid ya miaka 10 uzowefu ungesaidia Sana kuboresha shirika la ttcl ni letu wote watanzania tutaka kuona linafanya vizuri kiwanda hichi Cha mawasiliano nnchini
 
TTCL NYIE NI WAFU KAMA WAFU WENGINE RUDI NYUMBANI AU RUDI KUZIMU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…