TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ukiwa unatumia mitandao mingine ukituma sms kwa mtumiaji wa ttcl inaweza kukaa hata zaidi ya masaa mawili ndio inakuwa delivered.
 
Hivi kumbe huu mtandao bado upo[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Yaan hata hii account Ina behave just like customer care yao , hakuna msaada kabisa, ameweka Uzi halafu hata kujibu comments inakuwa shida , ndo keshamaliza kazi alotumwa

Sent
 
Mi kila nikitaka kuangalia porn online wananigomea. Wanaboa hawa jamaa bando langu arifu wananipangia cha kufanya....
.....na kutuma sms kwenda mitandao mingine sometimes wananigomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…