My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
Huduma kwa wateja kuna shida gani?
Mtu unapiga simu zaidi ya dk 20 simu haipokelewi, hii sio njema.
Mtandao wenu unashida, mtu huwezi kutuma msg yenye character nyingi inagoma, then mnatoa msg 50 ? Are you serious kwenye ushindani kweli?
Hakuna mtandao unaofikia TTCL kwa vifurushi nafuu, tena vya data ndo vya kumwaga, hiki nadhani ni mahususi kwa dakika, hata mtandao ni kutokujua tu, maeneo ambayo network ya TTCL iko chini select ya Tigo inafanya nadhani wako na makubaliano ya kibiashara, tangu nimegundua kuwa Tigo inafanya kazi kwenye TTCL sihangaiki tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aaaaaah nyie vijana mnapelekeshwa na wazee wanaotumia vitochi katika age ya smartphone so hata hawaoni umuhimu wa bundle kuwa kubwa.... Wanarahisisha maisha kipuuzi.Kwahiyo sisi vijana wa TTCL ni mandezi?
Bora nibaki halotel aisee. [emoji3][emoji3][emoji3] hamna kindo hapa....Ongea na Chati zaidi kwa gharama nafuu ukiwa na TTCL Corporation #RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1478257View attachment 1478258View attachment 1478259
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wabinafsishe maana kwa hali tulivyo ni TBCIla mna maeneo mengi ya kuboresha ili muweze kuendana na kasi ya washidani.. Huduma zenu zinalalamikiwa mno.. Pengine kuliko mitandao mingine yote
Hakuna mtandao unaofikia TTCL kwa unafuu mkuu, hicho kifurushi mie mwenyewe sijawahi kukitumia lakini najua kipo lakini viko vizuri zaidi.Voda najipatia mb500 kwa jero tu saa 24
Sasa nihamie wapi tena mkuu
Hakuna mtandao wenye vifurushi nafuu vya data kuzidi TTCL, weka hapa nikuwekee tufanye comparison.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aaaaaah nyie vijana mnapelekeshwa na wazee wanaotumia vitochi katika age ya smartphone so hata hawaoni umuhimu wa bundle kuwa kubwa.... Wanarahisisha maisha kipuuzi.
Ona mimi ninavyopata..Ilibidi uweke na siku kinazodumu, pia hii ni yakwako tu kwahiyo sio kila mtu atapata kama wewe kwa bei hiyo, halafu wanaangalia speed yako kwenye kukitumia wakiona speed yako kubwa wanakupandishia bei
TTCL nawapongeza kuendelea kutoa huduma zenye garama nafuu.Ndugu mteja,
Je una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu?
Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma zetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
[emoji654] Ni tatizo gani?
T - PESA, SMS, kupiga simu, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano na kadhalika.
[emoji654] Maeneo gani?
Tukifahamu eneo ulilopo, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa wakala wetu aliye karibu nawe.
[emoji654] Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
[emoji654] Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza?
[emoji654] Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi lifanyike ili tuzidi kuboresha huduma zetu.
Karibu
[emoji2398]TTCL Corporation.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hoja yako inashindana na uhalisia.... Huo mtandao unaosema ni nafuu mbona ndio unaongoza kwa kukera sisi wateja.... Unajua kitu kizuri wala hautasikia watu wakijadili shida zake...... Watatumia na kushawishiana...... Wateja tunafuata huduma sio maneno ya porojo za huduma bora.Hakuna mtandao wenye vifurushi nafuu vya data kuzidi TTCL, weka hapa nikuwekee tufanye comparison.
Sasa si bora kujiunga hapa...Ona mimi ninavyopata..View attachment 1479071
Inawezekana kabisa.Habari,
Nina laini iliyosajiliwa jina la mtu mwingine ambayo tulikuwa tunatumia familia kwa ajili ya intaneti, sasa hivi naitumia mwenyewe. Je, naweza kubadili umiliki usajili uwe kwa jina langu?
Yasije yakanikuta ya Idris Sultani
Tanzania ina watu mil60Karibuni JF kuliko na jamii kubwa ya Watanzania