TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.
 
Unaishi wapi kaka mbona mi ndo natumia na haijawahi kunisumbua?
 
Hili shirika litatia sana aibu mara vocha inagoma kuingia,mara meseji haziendi,ukija kwenye Internet ndio hovyo kabisa mara 3G,mara E na saa nyingine hamna herufi yoyote,
View attachment 1354508
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Hili shirika litatia sana aibu mara vocha inagoma kuingia,mara meseji haziendi,ukija kwenye Internet ndio hovyo kabisa mara 3G,mara E na saa nyingine hamna herufi yoyote,
View attachment 1354508
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
TTCL wa hovyo mwezi uliopita niliunga kifurushi cha mwezi lakini do zenyewe sikutumia vizuri network inakata katikati ya mazungumzo na hapo Nipo city centre sipati picha huko vijijini.
 
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Habari..!
Nina changamoto ya t-pesa yaani nimesahau password (nywila) yangu sasa nimejaribu kupiga makao makuu mara mbili lakini bado maelekezo nayopewa hayasaidi na nakua
siwezi kufungua akaunt yangu naomba unisaidie

Pili, ktk vifurushi vya boom pack bundle mgeongeza muda wa maongezi kwenda mitandao yote maana dakika 50 ni chache kwa mwezi mngeonngeza
 
Kwanin msifunge minala ya mawasiliano nchi nzima?
Mtandao kama halotel walifanikiwa, sisi tunashindwaje?
Tunajua ni gharama kubwa, lakini ndio biashara inataka hivyo
Tunashukuru kwa kutuandikia,Hatua za kuboresha huduma zetu zinaendelea kufanyika ili kuwapatia wateja wetu huduma iliyobora.
 
Tunashukuru walao mmeanza kujibu komenti zetu mlikaa kimya kama vile hamnazo kwa vile mnakula kodi zetu boresheni huduma ss wa Dar tu tunakosa mtandao hao wa pembezoni je? Hakuna haja ya kuuliza unakaa wapi huduma ni mbovu.
Nilitembelea ofisi iliyopo nyerere road mara mbili naambiwa eti cha kujisajilia kwa alama za vidole ni kibovu. Mawakala nao wananiambia nina special namba hawawezi kunisajili. Are u people serious au mmebweteka kwa vile muuze au la mshahara mnapata.Mnajua wasio na ajira wanavyoteseka kweli? Mnajua hizh laina tumetaka kusajili baada ya wito wa Mh turudi nyumbani kumenoga?
Mh tunakuomba hebu pangua safu hapo kwanza ili watu watie akili, wanazunguka kwenye viti tu .Tupo wengine ambao tunajua unachotaka ukituhitaji tuko tayari mkuu.
Nchi hii inataka wenye moyo.
NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…