TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aaaaaah nyie vijana mnapelekeshwa na wazee wanaotumia vitochi katika age ya smartphone so hata hawaoni umuhimu wa bundle kuwa kubwa.... Wanarahisisha maisha kipuuzi.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Customer care kumbe inabidi issue ya kupanic isiwe sifa yako kbs 😂😂😂😂😂 makavu live duh!
 
Huu mtandao naona wapo kama jina tu , mm ata laini zao sijawahi kuziona

Tatizo hawapo kiushindani
 
TTCL ukiwa Nyerere square hapa Dodoma inakuwa na mwendo wa kobe sijui kule home Mnacho inakuwaje?
 
Huu mtandaoni wenu kuutumia yahitaji moyo wa chuma maana line ninayo ila ninacho pata na nilicho ambiwa ni vitu viwili tofauti, sijawahi kuona shirika la uma la hivi, Director general wenu inapaswa apewe kazi nyingine ya kufanya
 
Asante kwa maoni, nilitaka nikasajiri laini yao ila kwa haya uliyoandika, watanisikia kwenye redio ya Panasonic double decks 🙅🏾‍♂️
 
Tatizo Mgt yao wazee wengi
 
Hili shirika letu la umma kazi sana, hivi hawana watu wa marketing ? au ndo linajiendesha kwa hasara

Sasa Co. imejaza wazee tupu ofisini kwao,ukienda kutaka huduma asubuhi tu watu wana visirani cyao wkt washindani wao Voda/Tigo wamejaza vijana tupu na kazini ni mwendo wa performance appraisal kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…