TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Boresheni speed ya internet yenu ndio tutumie mtandao wenu pia maana unashika baadhi ya sehemu tu.
 
Pole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Napatikana maeneo ya sinza na zaidi huwa natumia bando la toboa (10gb per night). Huwa najikuta natumia gb chache wakati nikiwa maeneo kama kinondoni linaisha ndani ya masaa mawili tu
 
Kuna siku walitaka kuniibia ttcl niliweka vocha ya 500 ikakubali fresh nilipotaka kujiunga kifurushi cha siku unapata dk 10 ,na mb500 na sms 100 ikagoma nikarudia tena kujiunga ikagoma nikaangalia salia nikaona 494 wamenikata ,wakati sina deni lolote nikawaendea hewani huduma lwa wateja akapokea mdada nikamweleza shida yangu ,akaniambia subiri niangalie huku heee baada ya dktatu hivi akaniambia nimekurudishia dk 6 yako cha ajabu walirudisha kwa namba ya kawaida tunzazotumia huko mtaaani kusachi keenye tpesa yao nakuta jina la mdada acheni kuibia wateja ttcl hivi akikusanya sh 6 mara watu 1000
 
Mimi niko nyumbani muda mrefu, boresheni miundombinu ya mawasiliano yenu ifike kila mahali ya jiji la Dar.
 
Mna speed mbovu ya internet mnashindwa hata na makampuni ya kigeni
 
Mnaboa, nwdays mmekua wezi... Nimejiunga Bundle ya 10,000 imekaa wiki 1 tu sometimes hata wiki haifiki ni 4- 5days nikijiunga ya elfu 5 pia haikai... Sidownload Movies wala Apps, Wezi sana nyie wakati zamani my Bundle used to last 1 month. Naitupa line yenu soon.
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.
Tafadhali tutumie namba yako PM kwa msaada zaidi.

Rudi Nyumbani Kumenoga
 
Mnakimbilia kugawa gawiwo serikalini wakati mna matatizo makubwa ya kimtandao.
Pia mfumo wenu wa sms ni ule was stone age, ukiandika character zaidi ya 160 sms haiendi
 
Kama waingia insta huko ndio mchawi yupo
 
Name: TTCL
APN: Internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…